Ibrah ole kadabrah
Member
- Sep 9, 2019
- 6
- 7
Tangia Dunia imeumbwa hakuna Taifa lolote lililowahi kukuwa au kujengwa na watu dhaifu tangia ulaya ya kale, mesopotamia, hadi Roman empire Ukiangalia kwa undani Dola zote hizi zilijengwa na watu shupavu kweli kweli kutoka kwa viongozi had wananchi kwa ujumla kwenye Biblia kuna kisa cha mji wa Babeli rejea kisa hicho had cha kutaka kujenga mnara kumfikia Mungu tuangalie nia yao ya ndani ya dhati nini walikuwa wanakitaka mpaka Mungu kuwavuruga.....Acha hayo mataifa ya zaman embu tuyaangalie kwa uchache mataifa ya kileo ambayo utakuwa unayafahamu MFANO; Germany, Italy,Marekani, Uingereza, China, Urusi kwa uchache
Germany kwa mfano kulikuwa na watu wenye roho ngumu kama Aldof Hilter bila yeye cdhani kama Germany hii ya leo ingekuwepo watu walishindia mikate kuijenga nchi yao kila mtu kwa nafasi yake kuanzia wanasanysi, walimu, waandisi, waashi, mpaka yule mtu wa mwisho kabisa asiye na ujuzi alishiriki katika kuijenga ujerumani hii ya leo na ndio maana ukienda Germany ukimzungumzia Hilter kwa ubya hawata kuelewa hapa tunaangalia ile nguvu na ushupavu wa kiongozi huyu na sio vile ulivyoambia mayaya yeke kama yale mauaji ya wayaudi lakin tuangalie nyuma y wayaudi waliuliwa na Hilter? Nini kilipelekea akawa makali kwa watu waliokuwa kinyume na mawazo yake juu ya Germany? Kuna kipind ili nchi isonge mbele laazima baadhi ya watu kama ikibid kufa kwa manufaa ya nchi wafe ili watakao kuja waendelee vizuri
Angalia hapa AFRICA nchi zilizo tawaliwa na Mjeruman zilifikia hatua gani ya maendeleo kwa kipind hicho na baaada ya kuja Muingereza hizo nchi zilipiga hatua gani pia, kwa mfano Tanganyika/Tanzania majengo na miundo mbinu mingi kama barabara na reli zipo mpaka wa leo zimejengwa na mjerumani kwa kutumia mababu na mabibi zetu tena kwa BAKORA lakin leo hii wewe unayatumia maana yake nini kama ikifika pahala ikibid hata kutumia nguvu katika kuijenga nchi lazima itumike japo maumivu yatakuwepo lakin sio ya milele ni ya muda mfupi iala manufaa yake ni ya muda mrefu.
Hayati Baba wa Taifa mwl. Julius Kambarage Nyerere kipind cha uongozi wake nae alitumia mbinu hii nchi kwanza kwa waliokuwepo enzi zile wanakumbuka kuhusu operation vijiji vya Ujamaa lait kama sio yeye leo hii baadhi ya sehem zisingekuwa na maendeleo au kuwepo lakin kwa uthubutu na nguvu ya uongozi uliokuwepo watu walienda kujenga vijiji hivyo bila ya hatakuwa na miundo mbinu yoyote na watu waliumia lakin leo hii tunaona matunda yake yapo mambo mengi kama lile la kuzuia kuchimba madini mpka tutakapokuwa na uwezo wa kuyachimba ndo tuchimbe aliangalia vizazi vijavyo lakin watu hili wawalioni kwa hawa viongozi ila tunaangalia tu makosa yao madogo madogo wanasahau kuwa hili mambo kama haya yatokee lazima uwe mkali kweli ikibd hata na jeuri kidogo kama alivyowagomea wazungu katika baadhi ya mambo ambayo yalikua hana tija kwa nchi.
Tanzania ya leo ukiyangalia kwa jicho tulivu la tatu utaona kama Mh. Rais,Dkt John Pombe Magufuri kuna kitu anacho na anataka kukufanya na ameshaanza kukifanya kwa ajili ya maendeleo ya nchi japo watu wanabeza na kutukna bila kungalia umuhim wake vitu vinavyofanya chini ya uongozi wake kiukweli yahitaji roho ngum na ujasiri mkubwa watanzania tulisha zoea yale maisha lain lain ya kwenda kwa mjomba mjini unakaa mwezi kula na kulala bure bila kufanya kazi na maisha yanaenda lakin leo hii kama huna shuguli ya kufanya bas utalala njaa ile dhana ya kufanya kwaz kwa bdii ilipotea.
Kwa mfano miladi mikubwa yaStiegler's Gorge na Standard-gaugeacha ile ya Interchange (road) ya Ubungo na madaraja makubwa au kumalizia Termina III hii ni moja ya miradi michache mikubwa ambayo kuitekeleza kwake kwa hitaji uthubutu na uzalendo kwa nchi yako usio na chaka ndani yake ambayo wew leo unawezo usione faida yake kwa leo ila omba Mungu akupe Afya na uhai ndo utakuja kuona faida ya hichi kinachofanyika leo eeeh ndio lazima baadhi ya watu wapate maumivu kidogo hakuna Transition inayofanyika katika nchi yoyote bila maumivu kidogo.
Hakuna kipindi ambacho watanzania tunatakiwa kuungana kama kipind hichi chenye kila ya hila za kumkatisha tamaa mh Rais wetu kutoka kwa mataifa ya nje ya nchi kupitia vyombo vyo vya habari na wengine wapo hapa kwetu wakijiita wapinzani. kumeibuka hadi wimbi la watu kushangalia na kufurah pale wanapoona Rais wetu anashambuliwa wanashindwa kutambua kuwa anaposhambuliwa Rais imeshambuliwa nchi ni jukum letu kumlinda na kumteea.
Itaendelea kwa nchi zingine samba na mifano kutokea Tanzania ya leo stay tune.