Aliyerekodi alikuwa pande zipi hizo? Pole kwa wafiwa.Nimeiona hii clip fb, jamaa wamekufa huku wanajiona, ogopeni maji wadau, walikuwa kwenye landcruiser pick up
Kaka ni hivi, gari zilikuwa kibao zimeshindwa kupita , na kulikuwa na fuso moja iliingia ikasimama katikati ya maji, nadhani dereva wa fuso alinusa kitu, jamaa wa landcruiser yeye akaja akajifanya yeye ni hero akayapota magari akaipita fuso baada ya kuipita fuso tu basi gari ikabebwa na maji. Ina maana haya yote yalitokea mchana kweupe mbele ya watazamaji kama uwanja wa mpira.Aliyerekodi alikuwa pande zipi hizo? Pole kwa wafiwa.
Mkuu tupia clip humu basi... noma sanaKaka ni hivi, gari zilikuwa kibao zimeshindwa kupita , na kulikuwa na fuso moja iliingia ikasimama katikati ya maji, nadhani dereva wa fuso alinusa kitu, jamaa wa landcruiser yeye akaja akajifanya yeye ni hero akayapota magari akaipita fuso baada ya kuipita fuso tu basi gari ikabebwa na maji. Ina maana haya yote yalitokea mchana kweupe mbele ya watazamaji kama uwanja wa mpira.
Poleni wafiwaWatu sita wamekufa maji na wengine 2 wamejeruhiwa huko Mkoani Katavi.
Tukio hilo limetokea baada ya gari lao kutumbukia Mto Koga wakati wakijaribu kuvuka daraja la mto huo.
Tunakuomba uweke clip basi tuoneNimeiona hii clip fb, jamaa wamekufa huku wanajiona, ogopeni maji wadau, walikuwa kwenye landcruiser pick up
Ile clip inasikitisha sana. Haswa Yule mtoto mdogo alipokuwa anahangaika kuogelea huku Maji Yakiwa yanamshinda nguvu. Daaah nimejikuta Kama mzazi naishiwa nguvu. Yule Dereva wa Land Cruiser inabidi apigwe risasi tu hana faida kuishi. Yaaani pale alitaka kupata sifa tu...Fuso ilisimama katikati yeye akajiona ninja. Wapumzike kwa Amani Marehemu wote.Nimeiona hii clip fb, jamaa wamekufa huku wanajiona, ogopeni maji wadau, walikuwa kwenye landcruiser pick up
Duh mkuu hiyo clip basi siyo ya kuangalia na usiiweke please maana kuona mtoto anapata mateso siwezagi na ntaharibu sikuIle clip inasikitisha sana. Haswa Yule mtoto mdogo alipokuwa anahangaika kuogelea huku Maji Yakiwa yanamshinda nguvu. Daaah nimejikuta Kama mzazi naishiwa nguvu. Yule Dereva wa Land Cruiser inabidi apigwe risasi tu hana faida kuishi. Yaaani pale alitaka kupata sifa tu...Fuso ilisimama katikati yeye akajiona ninja. Wapumzike kwa Amani Marehemu wote.
Duh! Asante kwa taarifa, hawa madereva bhana sijui wanakuwa na haraka gani! ... Kama ile ya Dodoma mwezi huu mwanzoni.Kaka ni hivi, gari zilikuwa kibao zimeshindwa kupita , na kulikuwa na fuso moja iliingia ikasimama katikati ya maji, nadhani dereva wa fuso alinusa kitu, jamaa wa landcruiser yeye akaja akajifanya yeye ni hero akayapota magari akaipita fuso baada ya kuipita fuso tu basi gari ikabebwa na maji. Ina maana haya yote yalitokea mchana kweupe mbele ya watazamaji kama uwanja wa mpira.
Duh! Asante kwa taarifa, hawa madereva bhana sijui wanakuwa na haraka gani! ... Kama ile ya Dodoma mwezi huu mwanzoni.