Watoto wa Tanzania

hao wanaoponda mwe lol! ila huyu aliyefungwa kwenye meza ili asitoroke ndo kinyume kabisa na haki za watoto. hao wanaopigana wameshiba uji wa shule hao hawana neno.
 
safari ya ukombozi bado ni ndefu
 
da ina sikitisha sana sasa sijui sofia simba anafanya kazi gani kama waziri wa watoto huyu mama alaniwe coz hafanyi kazi yake kazi ni kupaka ina na rangi mikononi na miguuni
 
kaka unazidi kunitia hasira yani mimi 1215 lazimi nitapigana kufa na kupona watu kama sofia simba hatuwataki
 
Mungu ata tuhukumu wote ambao hatutafanya maamuzi ambayo yatawatoa hawa watoto katika haya matatizo na tusipokua makin hawa watoto hawatakuja kutusamehe milele.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…