si umebaki bado kwenye sufuria humu au mnataka kutulisha uchafu tu kwa kuokota iliyomwagika!,ya kwenye sufuria kama haitoshi kanunie mchicha pika chapchap tunakula!.. uswahili ukizidi mtakujaga kutuua!..π
Tuache utani asee.... nilikula maharage yaliyochacha enzi nikiwa chalii
nilikimbiza mwenge kama sina break acha kabisa. picha lilianzia class kama utani utani ikapidi
niweke kambi chooni. sio poa asee unaharisha hadi unalewa na kuona giza