Mambo hayo sio majuu tuu, hufanyika hata hapa bongo. Watoto wetu hucheza sana mchezo wa 'baba na mama' na hayo hutookea ila hayaandikwi.
I have a jirani, binti yake 13 years aliconceive akiwa class 7 hizi shule za kisasa za academy na baba na mama wakamtoa mimba kwa siri. The girl ni form three now, kicheche wa kutupwa na ndipo siri ikaleak amefanya abortion at 13!.
This was supposed to be a police case, lakini wazazi waliizima kuepuka aibu na kumvurugia masomo binti wakiamini wanamsaidia, kumbe ndio wamempa go ahead ya kuhitimu mapema.
Watoto wetu hawa hawa, huwezi amini.
Duh! Hiki kizazi ni kizazi cha kaini kabisa.Mambo hayo sio majuu tuu, hufanyika hata hapa bongo. Watoto wetu hucheza sana mchezo wa 'baba na mama' na hayo hutookea ila hayaandikwi.