C chayowa JF-Expert Member Joined Aug 15, 2011 Posts 413 Reaction score 112 Feb 26, 2013 #1 Habari wadau, Hivi kuna njia wanandoa mwaweza fanya mkapata watoto mapacha? Au inatokea tu bahati kuwapata Nawakilisha
Habari wadau, Hivi kuna njia wanandoa mwaweza fanya mkapata watoto mapacha? Au inatokea tu bahati kuwapata Nawakilisha
BADILI TABIA JF-Expert Member Joined Jun 13, 2011 Posts 32,766 Reaction score 23,230 Feb 27, 2013 #2 ivf watapandikiza embryo mbili loh