Equation x
JF-Expert Member
- Sep 3, 2017
- 39,686
- 61,200
ha ha ha ha ukitaka kumgusa mama tu,unasikia ng'aaa ng'aaaSio wote wanaoliaga usiku je wale wasio lia hua wanavizia kupiga chabo?
ha ha ha ha mkuu unafikiri kwa nini hupenda kulia usiku,hasa kuanzia saa sita na kuendeleaManeno ya waswahili
ha ha ha ha haJaribu kufanya utafiti wako na wewe Uje na facts zako hapa pengne kuna kaukweli ndani yake japo kua hata watoto wa single mama huwa wanalia usiku
ha ha ha ha hata ufanyeje,huwa wanalia usiku...wengine wanasema labda kwa sababu ya chango la uzazi..lakini mimi sijuiVingi vya kumfanya mtoto alie usiku, kabla hujafata ushauri wa huyo mwanasaikolijia hakikisha kabla ya kulala mtoto alishiba na anapolala hakuna wadudu (kunguni)
Watoto wadogo hawawezi kujua upi mchana upi usiku...ha ha ha ha mkuu unafikiri kwa nini hupenda kulia usiku,hasa kuanzia saa sita na kuendelea
Inawezekana ikawa sababu ya msingiWatoto wadogo hawawezi kujua upi mchana upi usiku...
Hata hivyo kitabibu zipo sababu kadha wa kadha, kubwa tatu ni njaa (usually little ones wanahitajika kula kila baada ya masaa 2), maybe anahitaji diaper change na mwisho ni discomforts sana sana kujaa gas tumboni kwa kuwa mtoto hajacheua, wazazi wengi vile huchoka usiku hupuuzia kumcheulisha mtoto anaponyonya.
Ni kweli mkuu,kwa miezi hiyo wengi huwa wanasumbua sanaWatoto wanalia usiku kwanza wengi hua chini ya miezi 3 ambao huwa wanashindwa kutofautisha usiku na mchana ndio mana wengi hulala mchana na usiku kuwa macho.
Sababu nyingine ni kutoshiba au hata kutaka attention kama kubebwa au kuwa cuddled.
Baada ya 3 mnths wanapunguzaga matatizo na kulia
ha ha ha ha ha haKuna kaukweli Fulani maana unakuta Uko mwake sana ile mmnaliza kupandishana mzaka unataka kufanya yako Mara aaaa,aaaaa,aaaaa
ha ha ha ha ukweli ni upi mkuuUwongo mtupu