Watia nia wa CCM nani angetufaa?

Incredible

JF-Expert Member
Apr 2, 2012
1,031
1,603
Kwenye uchaguzi wa 2015, wanachama kadhaa wa CCM walitia nia kugombea Urais. Kwakuwa wazee wa chama hawakumtaka Lowassa, je ktk waliobaki ni nani angetufaa? Huyu tuliye naye wenye akili wote wanasema tuliingia cha kike. Je nani angetufaa?
 
Prof.Mwandosya.
Nimemfatilia sana bungeni.Ni msikivu wa sauti ya umma.Ana heshima kubwa ata kwa wapinzani.
Ata katika sakata la Eskrow alitoa majibu mazuri.
 
Mkweree na mtandao wake walikuwa wanamuogopa sana huyu bwana!!!! Hata hayo maradhi yaliyompata kuna watu wanaamini kuwa hawa jamaa walimfanyizia ili ashindwe kuchukua kiti!!!
 
Mungu amfanyie uponyaji..
 
Back
Top Bottom