Wateule wa Rais wanashindwa Wafanye lipi ili Waende Sawa na Mkulu!

Ndikwega

R I P
Feb 1, 2012
5,979
5,527
Salaam wadau!

Kinachoendelea nchini hakika ni Vituko tu. Mara nyingi nimekuwa nikijiuliza kwanini Mh anapenda kutumbua tumbua Wateule wake pia kana kwamba alifanyiwa uteuzi na mtu, jawabu nililokuja kupata ni Kuwa Mh Rais wateule wake angependa wafanye yale anayoyawaza yeye kichwani. Kitu ambacha ni vigumu kutambua mawazo ya mtu.

Mathalani tumeshuhudia Wakitumbulia akina Anne Kilango Malecela, Nape na Wengineyo wote walitumbuliwa shida ni ni Wanashindwa kutambua anachowaza Mh wakifanye. Kitu ambacho inakuwa kama ramli juu ya kujua anachokiwaza Rais.

Tumeshuhudia Dr.Harrison Mwakyembe akiumbuliwa sakata la Vyeti, kisa tu hakufurahishwa wala hakuliwaza Mh.

Ni aibu saana kuona Mtu mmoja tu ndiyo anataka zitumika akili zake kuongoza Nchi. Hakika Wateuli wa Mh Rais mna shida, yaani mnaishi kwa Msongo wa Mawazo kuwa sijui kutakuchaaje. Ndiyo Mjiulize Mbona Bashite hafanywi kitu, Ramri inamsaidia kubaki kwenye Mfumo. Someni alama za Nyakati wandugu

Ushauri kwa Wateule wake Mh Rais: Lolote mnalotaka kulifnaya ni Vema Mkamshirikisha japo ni Upuuzi ila kwa Kutetea Lishe si Mbaya. Tumeingiliwa kweli.
 
Inabidi kujitoa ufahamu kwanza! Kasi kasi anaiweza sana hii sanaa ya kujitoa ufahamu ili mkono uendelee kwenda kinywani!
 
Inashangaza sana kuona hawa wastaafu wakiwa kimya. Hii inaonyesha hawajali chochote kuhusu maslahi ya Tanzania na Watanzania. Wameamua kukaa kimya huku nchi ikienda mrama.



Nchi ipo kwenye giza nene! Cha kushangaza watangulizi wake wapo kimyaaa!
 
Inashangaza sana kuona hawa wastaafu wakiwa kimya. Hii inaonyesha hawajali chochote kuhusu maslahi ya Tanzania na Watanzania. Wameamua kukaa kimya huku nchi ikienda mrama.


Na Mwaka huu tunaoenda kuanza 2017/18 ndiyo utakuwa Mbaya kuwahi Kutokea tangia Uhuru. Bajeti za hovyo, sijui hata hatima ya Taifa chini ya CCM.
 
Back
Top Bottom