Water Taxi? Wabongo tuna mambo

Hapana,sio water tax,ni water taxi

My fault to make wrong spell, I was just rushing to do something else. Never mind, it sounds like you know what the topic theme is. Man! You know what I mean?
 
teh teh teh teh!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!
 
Mzee umechemka

Mwambao wa Indian ocesea bahari ya Hindi,

Hapana,sio water tax,ni water taxi

Indian Ocean Sea?!

Kuna kosa gani kuandika maneno tofauti yenye maana ile ile? Au wengi hamjapitia mashairi ya Shaban Robert? Watunzi wa tenzi wanaweza kutujuza zaidi.

Kama mtundu ungeweza kugundua kitu ambacho nimefanya kuanzia na kichwa cha habari, maandishi kwenye mtumbwi na English structure (grammar) aliyotumia kuandika kwenye mtumbwi.



Water Taxi? road taxi? land taxi? railway taxi? air taxi?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…