Mkuu mimi nashughulika na Biashara ya Hardware hususan maBomba aina zote na Fittings zake Pamoja na PUMP SURFACE na SUBMESABLE nataka kujua tayari umeshachimba KISIMA? kwasababu PUMP yakutosa ili ujue Bei inategemea na Ukubwa wa KISIMA chako!! na Pump ziko za CHINA na ITALY nipe maelezo ntarudi kwa ushauri!
Sio nawapigia promo.......ila Davis&Shirtliff......wapo vizuri katika maswala hayo......ona wao........