Water pump inch 2 inauzwa

Water pump inch 2 inauzwa

popo1986

JF-Expert Member
Joined
Jul 30, 2014
Posts
1,120
Reaction score
373
Wakuu kuna MTU anauza water pump kwa Tsh. 200,000/= ameutumia mwezi mmoja na anauza kwa sababu anashida na fedha kwa dharura
Inatumia. Petroleum
Inch 2
 
Wakuu kuna MTU anauza water pump kwa Tsh. 200,000/= ameutumia mwezi mmoja na anauza kwa sababu anashida na fedha kwa dharura
Inatumia. Petroleum
Inch 2

Mawasiliano mpigie mwenyewe

0755103405
 
1-Mfumo wake wa kunyonya maji unatumia nini?
2-Je uwezo wake wa kusukima (nguvu) maji ni kiasigani?
3- Je inatumia kizalisha umeme cha vinu vingapi?

Mkuu....
Ebu tupia hata kapicha aiseeee... maana hapo tayari wengine umesha igusa mitoma yetu
 
Mkuu picha sina ila IPO vzr ni uhakika
 
Inasukuma maji mpaka mita 300.
Inapokea maji kwa gravity, kisha discharge yake ina sukuma kwa kpi/bar ngapi?
Je, suction yake inatumia impeller au diaphragm?
Naogopa kuuliza maswali magumu ndiomaana nikaomba picha mkuu
 
Wakuu kuna MTU anauza water pump kwa Tsh. 200,000/= ameutumia mwezi mmoja na anauza kwa sababu anashida na fedha kwa dharura
Inatumia. Petroleum
Inch 2
Ni aina/brand gani??
Sababu ya Kuuza ni nini?
Ana risiti ya manunuzi ya TRA??
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom