Haha kaka kua specific unalima bustani au shamba la mazao ya kueleweka, kama Ni bustani huto tusampo twa pampu above tunakufaa lakini kama Ni shamba là haswaa huto tupampu hatukufai tafuta inch 4, kubwa yenye foundation, pull pamoja na injin separate inatumia dièsel,vingi vya nchi 3 vinatumia petrol which is not economic friendly to usé,
THANKS