Watengenezaji na wauzaji wa milango na vifaa vya milango.

Watengenezaji na wauzaji wa milango na vifaa vya milango.

REALWOOD LTD

Member
Joined
Aug 14, 2018
Posts
21
Reaction score
3
REALWOOD LTD, ni watengenezaji na wauzaji wa milango aina ya mbao na vifaa vya milango.
Tunatengeneza milango ya mbao ngumu tunatumia mbao ya mkongo (Hardwood)na milango ya mbao ya kawaida tunatumia mbao ya syplus (softwood).Pia tuna vifaa vya milango kama bawaba,digital locks na vitasa.
Kwa maelezo zaidi piga namba 0746 520 520 au tembelea showroom yetu ipo MWENGE,COCACOLA ROAD,JOSAM HOUSE, GROUND FLOOR.

NJOO UJIPATIE MILANGO BORA NA IMARA ... KARIBUNI WATEJA

750,000/= (mbao ya mkongo)
3vtransce4c31.jpg

750,000/=(Digital locks)
IPRC0607.JPG

750,000/=(mbao ya mkongo)
KETT7854.JPG

960,000/=( mbao ya mkongo)
EGJT4568.JPG

380,000/= zote mbili (bawaba )
IMG_4315.JPG

10,000/= (bawaba) ,60,000/=(kitasa)
IMG_4310.JPG

450,000/=(mbao ya syplus)
IMG_4054.JPG

1,500,000/= ( fingerprint lock)
FMRN8655.JPG
 
Attachments

  • FMRN8655.JPG
    FMRN8655.JPG
    30.2 KB · Views: 104
Vizuri sana mkuu, pita pia na kwenye page maarufu huko instagram na fb, japo utalipia kidogo lkn utatangaza kwa wigo mpana zaidi mkuu.
 
Vizuri sana mkuu, pita pia na kwenye page maarufu huko instagram na fb, japo utalipia kidogo lkn utatangaza kwa wigo mpana zaidi mkuu.
naomba unielekeze kidogo kwenye page za instagram natakiwa niwatumie watu maarafu?
 
REALWOOD LTD, ni watengenezaji na wauzaji wa milango aina ya mbao na vifaa vya milango.
Tunatengeneza milango ya mbao ngumu tunatumia mbao ya mkongo (Hardwood)na milango ya mbao ya kawaida tunatumia mbao ya syplus (softwood).Pia tuna vifaa vya milango kama bawaba,digital locks na vitasa.
Kwa maelezo zaidi piga namba 0746 520 520 au tembelea showroom yetu ipo MWENGE,COCACOLA ROAD,JOSAM HOUSE, GROUND FLOOR.

NJOO UJIPATIE MILANGO BORA NA IMARA ... KARIBUNI WATEJA

750,000/= (mbao ya mkongo)
View attachment 836718

750,000/=(Digital locks)
View attachment 836722

750,000/=(mbao ya mkongo)
View attachment 836775

960,000/=( mbao ya mkongo)
View attachment 836776

380,000/= zote mbili (bawaba )
View attachment 836789

10,000/= (bawaba) ,60,000/=(kitasa)View attachment 836792

450,000/=(mbao ya syplus)
View attachment 836798

1,500,000/= ( fingerprint lock)
View attachment 836854
Kwamba hicho kitasa cha kutumia password ndio kinauzwa 1500000?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
750,000/= Digital locks ni sawa na mshahara wa jamaa mmoja ambaye juzi alianzisha uzi wa kuomba ushauri wa kujenga.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom