Gari sio luxury,viongozi wenu mnaowachagua wanaamua kuwaachia mabepari nyenzo kuu za uchumi kama madini etc,na kuwapa tax break na mikataba ya kuwanufaisha ilhali na taifa linahitaji pesa,,nini cha kufanya ,,cha kufanya wanaamua kuwaongezea kodi ktk magari,etc matokeo yake mnaona gari ni anasa,madada zetu wanavulishwa nguo coz of gari hii yote ni matokeo ya kodi.