Wateja wa Sim Banking Tukutane Hapa

Amavubi

JF-Expert Member
Joined
Dec 9, 2010
Posts
30,154
Reaction score
13,267
Salaam

Mimi ni mdau mkubwa sana wa huduma hii ambayo imenisaidia mengi sana. Kwa siku za karibuni nimeshuhudia na kusikia mengi yanayonifanya niitafakari sana huduma hii ......kautafiti kangi kanaonesha kwamba siko peke yangu kwani wanaojua hawajaingia kabisa na waliomo wanatamani watoke JAPO WAPO WENGI WANAOTAMANI KUINGIA PIA.

Naomba wenye weledi, maarifa na uzoefu wa huduma hii tushirikishane pia hapa namaanisha pia wahanga na wanufaika

Asante

NIWEKE WAZI SINA MASILAHI UPANDE WOWOTE na Mungu ni shahidi yangu.
 

Attachments

  • upload_2017-7-10_12-44-26.jpeg
    84.2 KB · Views: 36
Ni huduma nzuri sana rahisi kutumia, inarahisisha maisha
 

Umesikia na Kushuhudia nini mkuu?

Wengine tunaitumia sana hii tusijekuwa tunaumizwa bila kujua.
 
Ni huduma nzuri na inarahisisha kwa akina sisi tunaoishi mbali na ATM's, kasoro yake kubwa ni ghari..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…