Natafuta wateja wa jumla wa mkaa walioko Dar es salaam.Mkaa unatoka mkoa wa Lindi
Karibuni tuwasiliane.
Hadi ukiufikisha Dar...unauzaje kwa GUNIA nipe bei ambayo mtu anaweza kuweka STORE akauza
unahitaji gunia ngapi?
Natafuta wateja wa jumla wa mkaa walioko Dar es salaam.Mkaa unatoka mkoa wa Lindi
Karibuni tuwasiliane.
Mkuu mie naomba bei kwa DSM itakuwa kiasi gani nahitaji gunia 100 kila week serious.
Naomba bei kwanza tutaongea kila kitu usiwe na haraka mkaa unaitajika haraka.Mkuu,ni pm toungee zaidi.
Nauza kwa jumla tu.Gunia sh ngap au huuzi kwa reja reja
Sawa, ntakupigiaNicheki 0716885581 tufanye biashara. Ntmgenesis
Wala si hivyo,bado mambo yalikua hatua za mwanzo. Kama bado unania,mzigo unaiingia wiki hii.Naona bei iko confidential..
Mkuu, weka bei elekezi basi...
huyo Teye nae dalali tu,anataka kula elf 20 ama 10 ya juu kwa kila gunia,bei anayokupa ndo bei wanayouzia wenye store dar,ye anasema ya jumla,sa we ukauze lak au? Wap wapo wateja wa kununua zaid ya elf 60,wakat mkaa wenye vibal toka tanga wanauza had elf 48 lombesa. Na sahz mkaa wa lindi mamlaka zinataka uwe na gunia dogo la kat sio lombesa za mbili kwa moja,ukiwa na lombesa kubwa unahesabiwa umebeba gunia 2.
mimi nina gunia 120 zimeingia jana za mkaa, full lombesa toka Iringa. gunia nauza 48,000. karibuni wote. 0714 407095