Lengo lako nn hasa? thanx au kutoa taarifa?Kweli ninyi watu hamna shukurani, nimewatafutia njia nzuri ya kufuatilia pesa zenu, hata kunipa thanks mnashindwa?
au mnaogopa kuchekwa kwa kuliwa?!!!
Mimi nikushukuru kwa kuweka namba za simu za wawakilishi umeniwezesha kupata namba za mama mmojawapo tulikuwa naye Dar kabla sijahamia huku kijijini. BBLESSED
Wewe vipi bila kufanya hivyo nitajuaje kama ujumbe wameupata?, ebu angalia mwenzako hapo juu.Lengo lako nn hasa? thanx au kutoa taarifa?