Watch "iPhone XS Max vs Samsung Galaxy Note 9" on YouTube

Nimeona ni ghali kweli, EURO 1,250!
Kwa kweli hapo nimeshindwa, na nikizipata ntaweka kwa ajili ya urithi wa watoto..
 
Nimeona ni ghali kweli, EURO 1,250!
Kwa kweli hapo nimeshindwa, na nikizipata ntaweka kwa ajili ya urithi wa watoto..
Wazungu wenyewe wameishindwa bei hasa hii iphone mpya bei inafika $2000.Ukiangalia comment za watu hasa watumiaji wa iphone wameponda hilo toleo simu internal inaanzia 64gb 128Gb 512gb halafu hamna sd card na bei yake $2000 wakati note 9 ina internal 512gb na sd card hadi 1Tb bei yake ni $800-900
 
Wanatuona majuha hawa..
 
Acha watumiage wakina 50cent na wakina my wether uko
 
Wanasema tajiri anaga muda wa kuangalia tv, ye uwa anaenda kununua tu vitu expensive lakini masikini ndo uwa anaangalia ma uzinduzi ya ma vitu expensive
 
Hilo nalo neno lakini kujua yanayoendelea duniani sio mbaya bei hizo kwa watu kama bill
Wanasema tajiri anaga muda wa kuangalia tv, ye uwa anaenda kununua tu vitu expensive lakini masikini ndo uwa anaangalia ma uzinduzi ya ma vitu expensive
Hilo nalo neno lakini kujua yanayoendelea duniani sio mbaya bei hizo kwa watu kama bill gate ni kawaida ila usishangae akawa anatumia s4
na hela anayo anacho angalia vitu vya muhimu anavipata mengine sifa unaweza kuwa na simu kubwa ukaitumia 10% zingine hujui ni vizuri kujua unanunua simu kwa ajili ya nini sio ushabiki.
 
Ukiwa na internal 128gb sd card ya nn
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…