Watatu wafariki katika ajali ya Lori mkoani Kagera

Kurzweil

JF-Expert Member
Joined
May 25, 2011
Posts
6,622
Reaction score
8,427

Habari wanaJF,

Watu watatu wafa papo hapo leo baada ya lori likielekea nchini Burundi kuanguka katika mteremko wa milima ya K9 wilayani Ngara.

Taarifa zaidi zinakuja wakuu.
 
Habari wanaJF,

Watu watatu wafa papo hapo leo baada ya lori likielekea nchini Burundi kuanguka katika mteremko wa milima ya K9 wilayani Ngara.

Taarifa zaidi zinakuja wakuu.
RIP pole kwa wafiwa TANZANIA MPYA TUNAONGOJA BUT HAIFIKI sijui inakuja kwa lift ya KOBE?
 
Habari wanaJF,

Watu watatu wafa papo hapo leo baada ya lori likielekea nchini Burundi kuanguka katika mteremko wa milima ya K9 wilayani Ngara.

Taarifa zaidi zinakuja wakuu.
RIP marehemu wote
 
Yoooooooooooooooooooooooooo Kaziroooooooooo Iweeeeeeeeeeeeeeeeee Bojooooooooooooooooooo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…