Prince_Lusamwa
Member
- Mar 21, 2015
- 9
- 3
Ni matumaini yangu wana jukwaa wote mko salama kiafya, kama ni kinyume na hivyo pole sana na endelea kumuomba Mungu akuponye haraka.
Ni zaidi ya mwezi minane sasa imepita toka walimu wa diploma na cheti walipoondoka chumba cha mtihani kwa Mara ya mwisho, na ni zaidi ya miezi mitano imepita tangu BARAZA la mitihani lilipoanika waliofauru na walioshindwa, kibaya au kizuri zaidi ni miezi mitatu inakarib kwisha tangu walimu hawa waliofauru wametoka katika kambi mbali mbali za jeshi la kujenga taifa JKT, ambako huko walikwenda kwa mujibu wa sheria, walilazimishwa kwenda huko ili kukidhi vigezo vya kuajiriwa, kwa kawaida ajira za walimu tumezowea kuziona na kuzisikia zikitangazwa katikati ya mwezi wa tatu, lakini leo tumrbakiza siku 3 kabla ya kufika tarehe 1 Aprili siku ambayo mwaka wa Jana ilikuwa siku ya kuanza kuwasili katika vituo vyao vya kazi, Swali langu kwa waajiri wa wahanga hawa wa ajira ni "WATU HAWA WASUBIRI MPAKA LINI?" Tahadhari kwa walimu mnaosubiri ajira Tarehe 1April ni siku ya wajinga, take care.