The disappearance of five Tanzanian youth footballers has prompted the Swedish Migration Board (Migrationsverket) to tighten entry requirements for non-European players in the Gothia Cup, the world's largest youth football tournament.
this is expected when the future of the nation seems blurred to a lot of us. i dont know if what they did should be considered a heroic or stupid effort.
Mbinu inayotumika hapa ni rahisi sana ,ikiwa utasikia kuna kundi au timu fulani inaondoka kuelekea majuu basi jaribu sana kukutana na wale vigogo wanaoshughulikia msafara huo ,hapo nawe utachanganywa na kundi hilo na kuondoka nao ,kwa maana yanapopelekwa maombi ya visa nawe unahakikishwa unakuwemo .ila kuna dau la kusafiria,hili unampa yule unaepanga nae mipango ,sasa hapa napo patamu unaweza ukafanikiwa kama upo smart au ukatapeliwa ,hivyo inakubidi uwe makini katika kutoa hiyo hela ,itakubidi upatane ,kama utatoa robo na ingine utamalizia baada ya au siku utakapokabidhiwa pasi yako ikiwa imeshagongwa visa. La si hivyo utapoteza pasi na hela italiwa na safari usikie tu jamaa weshaondoka.