mtahengerwa
JF-Expert Member
- Jun 28, 2011
- 384
- 173
Watanzania wengi wanahitaji mabadiliko ya kiuchumi kupitia kilimo ambocho ni uti wa mgongo wa watanzania ambapo zaidi ya 78% ya watanzania wanajishughulisha na kilimo.
Sekta hii nyeti inahitaji waziri aliyetoka katika jamii ya wakulima, anayejua matatizo ya wakulima na majawabu ya matatizo ya wakulima.
Waziri huyu lazima awe na dhamira ya dhati ya kuinua maisha ya watanzania kupitia kilomo.
Kwasasa mhe.WASSIRA ni waziri wa kuigwa Afrika na kama sio dunia nzima, kwa muda mfupi tu alipokabidhiwa ofisi hiyo ya kilimo chakula na ushirika amefanya mabadiliko makubwa katika kilimo.
Sasa tunaweza kusema bila woga kuwa kilimo ni uti wa mgongo wa taifa letu.
Mhe. wassira amekuwa akihangaika huku na kule ili kutafuta mafanikio bora ya kilimo ikiwa ni pamoja na kuwatafutia wakulima wetu masoko ya mazao yao na dhana bora za kilimo.
Kutokana na hali hii ! wananchi wengi wa tanzania wanamtaka mhe. wassira;
1.awatafutia masoko ya kudumu ya mazao yao nje ya nchi.
2.Mbegu bora hasa za pamba na kahawa.
3.Madawa yenye viwango vya juu vya kuua na kutokomeza wadudu.
4.-Mbolea inayofaa na wala sio kulazimishwa kutumia mbolea fulani kwa
amanufaa ya watu fulani.
Wakulima hao wamesema kama wassira ataendelea kuwa mpiganaji wao basi na wao watamuombea yafuatayo kwa MUNGU.
1.Afya njema.
2.Adumu kuwa mzalendo.
3.Mungu amwinue na kumuweka mahali pa juu sana ili awatumikie watanzania wengi zaidi.
Wakati mawaziri wengine wanahangaikia urais na kusahau majukumu yao ya msingi mhe. Wassira anawahangaikia wakulima.Mungu mubariki Wassira, Mungu ibariki Tanzania.