Heko kwa Wananchi wa Tanzania. Sisi ndio mabadiliko tuliyokuwa tunayasubiri. Pongezi kubwa kwa Wananchi wa Tanzania kwa kuamka baada ya usingizi wa muda mrefu. Serikali ya Tano, iwe Lowassa au Magufuli mambo hayatakuwa kama kawaida miaka ya nyuma.
hata kwa wale waoofia Lowassa ataendeleza rushwa, HILO HALITATOKEA serikali ijayo maana wananchi, Bunge wameamka.
Mungu ibariki Tanzania,
Mungu ibariki Afrika.