Hata kama upinzani ukishamiri namna gani lakini Watanzania wengi wanautambua umuhimu wa nchi yao kuongozwa na Rais wa Chama Cha Mapinduzi; wako radhi kumchagua Mbunge wa chama chochote cha upinzani lakini hawako tayari kuongozwa na Rais toka nje ya CCM.
Siyo kama hawayaoni mapungufu yaliyopo ndani ya CCM, la hasha bali wanatazama maandalizi hafifu na uwezo mdogo wa vyama vya upinzani kuiongoza nchi yao. Hivyo ni vema wakiendelea kuongozwa na CCM yenye mapungufu ambayo yanaweza kurekebishwa kuliko kuongozwa na upinzani wenye maandalizi hafifu na uwezo mdogo.
Haya ndiyo mapenzi ya Watanzania kwa nchi yao. Hawako tayari kuuweka madarakani uongozi usio na hatima njema kwa nchi yao.
Hali ilivyo hivi sasa Watanzania wameamua kumchagua Dr. John Pombe Magufuli kwakua ndiye mwenye uwezo na dhamira ya dhati ya kuifikisha nchi yetu sehemu nzuri.
Tafadhali usikose kwenda kupiga kura ifikapo Oct 25, usiende peke yako; ondoka na wanafamilia wako na rafiki zako mukampigie kura Dr. John Pombe Magufuli akutumikie kwa uadilifu na uchapakazi