Watanzania wanapenda "molestation"

Na kama kuna kasiasa kalitumika kumfunga Babu Seya basi iwekwe wazi wasije wakaibuka wengine wakalawiti watoto tena wakitegemea wataachiwa kwa msamaha wa Raisi ajaye.
Sidhani kama wanaweza kwenda mbali kiasi unachopendekeza maana Itakuwa ni ushahidi mzuri kuwa madaraka ya urais yanatumiwa vibaya.
Hii huruma kwa wanaoonewa hivi kweli haiku click kwenye ubongo wa Magufuli pale nyumba za watanzania waliojenga pembezoni mwa barabara ya morogoro zilipokuwa zikivunjwa?

Usikute hana huruma ila ile roho ya "kamkomoeni" ndiyo ilikuwa inatrend kichwani!

Au pia anashangilia hayo mambo aliyoyayasamehe kishilawadu shilawadu!
 
Nisamehe jakaya M.K!!?? Wameachiwa Sasa Na bulldozer wee endelea Na mipasho
 
Kapimwe. Na kama huna minyoo. Hmu JF natoka
Ndio hivyo sasa!
Rais wako anamahaba ya kufa mtu kwa walawiti.
Hahahahahhahahah!!!
Nyie ndio mmelipuka kwa mayowe ya shangwe sasa sijui mnashangilia nini.
 
Eti angalau kuounguziwa adhabu??? Hivi hapo hawajapunguziwa adhabu?? Si wameshatumikia miaka 13 yote jela?? Kuna mijitu hata huruma ya kimungu tuliyoumbwa nayo wanadamu haina! Sijui umeumbwa na shetani wewe!
 
Eti angalau kuounguziwa adhabu??? Hivi hapo hawajapunguziwa adhabu?? Si wameshatumikia miaka 13 yote jela?? Kuna mijitu hata huruma ya kimungu tuliyoumbwa nayo wanadamu haina! Sijui umeumbwa na shetani wewe!
Thibitisheni huruma yenu kwa wahanga wa bomoabomoa ya morogoro road.
Otherwise mnapenda harufu ya kinyesi na sii vinginevyo.
 
Mwenye quotations za magufuli juu ya msamaha aziweke tuzione
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…