Ndio nyie mmeelekezwa kwenye kikao/mkutano wa uvccm mjibu hoja mitandaoni.Mtoa mada wew ni (tusi kubwa sana)
Ukisema walisingiziwa unaitusi mahakama kuu na mahakama ya rufaa.rais katenda Jambo moja jema Sana. Walisingiziwa hata ukiona mwenendo was ile kesi. Yani yule mwalimu alipangwa kabisa. Rais anajua ukweli was it kes.
Big up Magufuli
Ndugu,kwa namna ambavyo unazungumza inaonekana umeguswa na hili la kuachiwa huru kwa nguza vikingi pole sana ,ila umekosa busara kidogo kwani unatumia lugha kali sana ambayo haiwez kujenga hata kama ina haki,kwangu mm lawama unazomtupia rais wa jamhuri kuhusu ubomoaji wa nyumba hasa ukihusisha tukio hili na la kuachiwa huru babu seya.Naomba niongeree kuhusu hili bomoa bomoa,katika hili rais amefanya kwa utashi mzur ila hilo kwa mtizamo wangu tu hasa nikifanya reference ya nchi ya china ambapo rais wa kipind icho ikiwa kama mwanaharakati alianzisha mfumo wa ukuzaji uchumi na hiyo ilikuwa ni vita kubwa sana kwani kwa record ndogo tu ,huyu jamaa aliu zaidi ya waponzani elfu moja ,akanzisha programs ya kilimo ambapo aliwaambia wazazi wazae watoto kadri wawezavyo na wakati huo huo alikuwa anajua chakula hamna watoto walikufa kwa njaa na wazee pia nao walifariki kwa kifupi yalikuwa ni maafa,ila lengo lake lilikuwa kuongeza population kwa ajili ya nguvu kaz,raia walilaano sana ila kutoka miaka ya 1940 mpaka 1950, china ilipata nguvu kaz na kilimo kikaanza kushamili na ndo maana mpak leo hii china imesimama,NARUDI KWA RAIS MAGUFURI,hili analolifanya lina maumivu na inawezekana likawa halina manufaa kwa kizazi chetu ila kwa watoto zetyu likawa na manufaa.HAKUNA NCHI ILIYOFANIKIWA BILA KUTUMIA MFUMO WA UDIKITETA NA KAMA IPO NAOMBA REFERENCE PLS.Wameisherehekea vizuri sana siku ya uhuru wa kujiamulia mambo including molestation.
Kiongozi mkuu amewasamehe huku akijivunia na kujipiga kifua kutumia vifungu vya katiba!
Of all criminal mlawiti aliyethibitika!
Yaani watanzania mna maana mlawiti miongoni mwa hawa hawa anaowasaka mkuu wa mkoa wa dar?
Kwani wezi wa kuku wameaamehewa wooote!
Mbona hatukuambiwa!
Kah jamani walawiti wa watoto! (proven beyond reasonable doubt) wanaachiwa huru kabisaaa! Sio hata kupunguziwa adhabu!
Hivi hakuna vifungu vya katiba vinavyompa mamlaka magufuli kuwapa tu hata fidia waliovunjiwa vibanda vyao pembezoni mwa barabara ya morogoro? Kwakweli vingeshangiliwa kupita maelezo.
Uatawi wa jamii unaovurugwa na kukosekana makazi kwa mamia kama sio maelfu ya familia zilizobomolewa nyumba zao kweli haikugusa mshipa wa huruma ya magufuli isipokuwa walawiti! Na watanzania wamelipuka kwa shangwe!
Ulawiti umezijaza nyoyo za watanzania kupita maelezo.
Huruma za aina kwa wahanga wa tetemeko zingeongeza mshikamano wa kitaifa, tena mshikamano chanya.
Sawa bwana ngoja nijite kwenye kupongeza.
Nakupongeza magufuli kwa kutufelisha.
Nakupongeza magufuli kwa kumzidi chifu mangungo.
======Msishangae ikipelekwa kusikojulikana.
Au kuunganishwa na thread nyingine hata kama hazifanani========
Kavuruga kivipi?Rais anao uhuru wa kusamehe wafungwa. Lakini kwa hili labda kama kuna siasa iliingia kwenye kufungwa hawa jamaa. Vinginevyo rais atakuwa kavuruga sana.
Mkuu una sababu gani ya msingi kuwatendea watu wako jambo baya (huku jambo zuri lipo pamoja na wewe) kisha unanukuu mambo mabaya ambayo nawe unakiri kuwa ni ya kikatili kufanyiwa wanadamu nawe unajivuna hadharani kweli akili yako inautimamu?Ndugu,kwa namna ambavyo unazungumza inaonekana umeguswa na hili la kuachiwa huru kwa nguza vikingi pole sana ,ila umekosa busara kidogo kwani unatumia lugha kali sana ambayo haiwez kujenga hata kama ina haki,kwangu mm lawama unazomtupia rais wa jamhuri kuhusu ubomoaji wa nyumba hasa ukihusisha tukio hili na la kuachiwa huru babu seya.Naomba niongeree kuhusu hili bomoa bomoa,katika hili rais amefanya kwa utashi mzur ila hilo kwa mtizamo wangu tu hasa nikifanya reference ya nchi ya china ambapo rais wa kipind icho ikiwa kama mwanaharakati alianzisha mfumo wa ukuzaji uchumi na hiyo ilikuwa ni vita kubwa sana kwani kwa record ndogo tu ,huyu jamaa aliu zaidi ya waponzani elfu moja ,akanzisha programs ya kilimo ambapo aliwaambia wazazi wazae watoto kadri wawezavyo na wakati huo huo alikuwa anajua chakula hamna watoto walikufa kwa njaa na wazee pia nao walifariki kwa kifupi yalikuwa ni maafa,ila lengo lake lilikuwa kuongeza population kwa ajili ya nguvu kaz,raia walilaano sana ila kutoka miaka ya 1940 mpaka 1950, china ilipata nguvu kaz na kilimo kikaanza kushamili na ndo maana mpak leo hii china imesimama,NARUDI KWA RAIS MAGUFURI,hili analolifanya lina maumivu na inawezekana likawa halina manufaa kwa kizazi chetu ila kwa watoto zetyu likawa na manufaa.HAKUNA NCHI ILIYOFANIKIWA BILA KUTUMIA MFUMO WA UDIKITETA NA KAMA IPO NAOMBA REFERENCE PLS.
Wewe kula baridi huko Denmark. Ikikuchengua sana nenda hapo Christiania kanunue hashish uzichome.rais katenda Jambo moja jema Sana. Walisingiziwa hata ukiona mwenendo was ile kesi. Yani yule mwalimu alipangwa kabisa. Rais anajua ukweli was it kes.
Big up Magufuli
ulikuwepo mahakamani kufuatilia hiyo kesirais katenda Jambo moja jema Sana. Walisingiziwa hata ukiona mwenendo was ile kesi. Yani yule mwalimu alipangwa kabisa. Rais anajua ukweli was it kes.
Big up Magufuli
Hahahahah akifungua mabano atalia na kusaga menoMtoa mada wew ni (tusi kubwa sana)
Mkuu tusi la nini tena? mjibu kwa hoja kwani hoja zake zina mashiko makubwa.Mtoa mada wew ni (tusi kubwa sana)
kweli kabisa ni aibu tupu mkuu.mtu amefiira watoto wadogo unamuachia huru tena kwenye jukwaa kubwa kabisa la siku ya uhuru? yule babu seya anaonekana alifanya kweli bora hata nguza
Kwa maelezo ya mkuu ni kwamba pamoja na mamlaka aliyokuwa nayo kusamehe ila lazima apate ushauri toka vyombo vinavyohusika. Sasa mimi sijui alipata ushauri gani hadi akajiridhisha na kuwasamehe. Rais hawezi kuamka na kusoma katiba kisha kuamuru wafungwa watolewe kwanza hakai na hao wafungwa na hajui tabia zao. Kama kuna upotoshaji basi yatakuwa ni makosa ya mabwana jela wanaokaa na wafungwa na walioshauri awasamehe.Rais anao uhuru wa kusamehe wafungwa. Lakini kwa hili labda kama kuna siasa iliingia kwenye kufungwa hawa jamaa. Vinginevyo rais atakuwa kavuruga sana.
Wewe uwezo wako wa ku scrutinize ni mdogo sanaaaaaa, kama ni msomi unaweza kupitia kesi yao na kutafakari ni jinsi gani ilivyokuwa ngumu kutungwa. Na je ni kwa nini hasa? yaani uongozi? ukubwa gani? kugombea nini? Mahakama majaji, walimu, wazazi nao washirikishwe kwenye kutunga kesi hiyo? hata kidogooooo, wewe ni mpuuzi sana wa kufikiri kama wengine wenye mawazo kama hayo!!!!!!!!rais katenda Jambo moja jema Sana. Walisingiziwa hata ukiona mwenendo was ile kesi. Yani yule mwalimu alipangwa kabisa. Rais anajua ukweli was it kes.
Big up Magufuli
Hapa kwa wale wanasheria mtufafanulie nini maana yake? sisi tunaelewa juu juu tu kwamba ushahidi ulisioacha chembe chembe yoyote ya mashaka...proven beyond reasonable doubt
Rais anao uhuru wa kusamehe wafungwa. Lakini kwa hili labda kama kuna siasa iliingia kwenye kufungwa hawa jamaa. Vinginevyo rais atakuwa kavuruga sana.