kweli kabisa ni aibu tupu mkuu.mtu amefiira watoto wadogo unamuachia huru tena kwenye jukwaa kubwa kabisa la siku ya uhuru? yule babu seya anaonekana alifanya kweli bora hata nguzaWatanzania wameshaachana na matumizi ya akili zao muda mrefu sana uliopita.......
Vichwa vyao wamewakabidhi wanasiasa hivyo basi wamegeuka wanasesere wa wanasiasa.......
Iwe alisingiziwa au alifanya kweli( kwa mujibu wa mahakama)....lakini lile hali kuwa jambo la kushangilia kiasi kile.......nadhani lile jambo limeleta picha mbaya sana kwenye nchi yetu kwa ujumla.........
Ingekuwa afadhali awapunguzie kifungo kiwe zaidi kidogo ya kifungo cha lulu say miaka mnne au mitano.Watanzania wameshaachana na matumizi ya akili zao muda mrefu sana uliopita.......
Vichwa vyao wamewakabidhi wanasiasa hivyo basi wamegeuka wanasesere wa wanasiasa.......
Iwe alisingiziwa au alifanya kweli( kwa mujibu wa mahakama)....lakini lile hali kuwa jambo la kushangilia kiasi kile.......nadhani lile jambo limeleta picha mbaya sana kwenye nchi yetu kwa ujumla.........
kweli kabisa ni aibu tupu mkuu.mtu amefiira watoto wadogo unamuachia huru tena kwenye jukwaa kubwa kabisa la siku ya uhuru? yule babu seya anaonekana alifanya kweli bora hata nguza
Ingekuwa afadhali awapunguzie kifungo kiwe zaidi kidogo ya kifungo cha lulu say miaka mnne au mitano.
Yeye kawatoa mazima!!!
Wafungwa waliotgibitika kuwa ninihiliyuu watoto!!
Thamani ya mtoto imelindwaje jamani?
Mahakama imepuliziwa ganzi.
Watanzania wameshakabidhi akili zao kwa wanasiasa......
Hakuna mwenye kujisumbua hata chembe kufikiria jambo hilo....hisia ziko juu sana na mihemko.......
Sasa hivi huyo anaonekana kama shujaa wa uhuru.........
Na huu ni moja ya udhaifu mkubwa wa katiba
Katiba inamfanya raisi kuwa sultan.....
Rais anao uhuru wa kusamehe wafungwa. Lakini kwa hili labda kama kuna siasa iliingia kwenye kufungwa hawa jamaa. Vinginevyo rais atakuwa kavuruga sana.
rais katenda Jambo moja jema Sana. Walisingiziwa hata ukiona mwenendo was ile kesi. Yani yule mwalimu alipangwa kabisa. Rais anajua ukweli was it kes.kweli kabisa ni aibu tupu mkuu.mtu amefiira watoto wadogo unamuachia huru tena kwenye jukwaa kubwa kabisa la siku ya uhuru? yule babu seya anaonekana alifanya kweli bora hata nguza
sijui bwanarais katenda Jambo moja jema Sana. Walisingiziwa hata ukiona mwenendo was ile kesi. Yani yule mwalimu alipangwa kabisa. Rais anajua ukweli was it kes.
Big up Magufuli