naanza kwa kutoa pole kwa yalio wakuta ndugu zangu mlioko Mysore poleni sana ila niongezee tu kwa kusema watanzania mlioko India na nchi zingine zote mkumbuke huko sio kwenu na inabidi kupunguza pombe na sherehe zinazoambatana na miziki mizito...vile vile tuwe wa wavumilivu na mapolisi sio tunachukua uamuzi wa haraka tu wa kuwapiga.