Nasikia walipigwa sumu?
mbona sababu iliotolewa na mufti inatofautiana na ile ilotolewa officials wa saudia
Nikumbushe mkuu ni sababau gani ilitolewa?
Umemsikia nani?
pepo ipi mkuu
Siyo hivyo, ni tendo la kuadhimisha yaliyotokea enzi hizo. Shetani yupo popote unapomtaja Mungu na Shetani pia hutajwa ndiyo maana hata kumpiga vinatumika vijiwe vidogovidogo.Huyu shetani ameleta Shida sana. Hivi wakuu nisaidieni pale ndio makao ya shetani?
Siyo hivyo, ni tendo la kuadhimisha yaliyotokea enzi hizo. Shetani yupo popote unapomtaja Mungu na Shetani pia hutajwa ndiyo maana hata kumpiga vinatumika vijiwe vidogovidogo.
Na wewe unataka kuniambia kwani hawawezi kuhiji kwenye nchi zao hadi waende kule?Mkuu kwa hiyo unataka kuniambia huyo shetani hawezi kupigiwa mawe kwenye nchi zao mpaka waende pale??
Zuberi Ali amesema mpaka sasa ni watu 8 ndio wameripotiwa kufa katika tukio la mahujaji kukanyagana huko makka nchini Saudi Arabia wakati wa Swala ya hijja. Akizungumza na waandishi wa habari leo jijini Dar es salaam Mufti Zuberi ameongeza kuwa juhudi zinaendelea kufanywa kwa pamoja kati ya balozi wa Tanzania na Serikali ya Saudi Arabia kujua idadi kamili ya Watanzania waliokwenda, waliofariki, waliopotea na waliofanikiwa kurudi.
Hata hivyo Mufti Zuberi amesema kuwa mwaka huu hakutakuwa na shamra shamra za kuwapokea mahujaji wanaorudi toka makka sababu ya kuomboleza msiba huo.
Aidha Mufti Zuberi amesema chanzo cha ajali ni baada ya kufungwa kwa njia moja ya kwenda katika eneo la jamarati ili kumpiga mawe shetani na hivyo kusababisha watu kuwa wengi zaidi ya uwezo wa njia.
Chanzo: EATV HOT MIX
Hiyo ndio Imani bana,ukiingia kiundani sana unaweza kufikia muafaka kuwa hawa jamaa ni machizii! ila ukweli ni kuwa uislamu unatakiwa uuamini na kuufuata bila kuhoji chochote na kama wangeruhusu kuhoji na kukosoa kwa wazi hii dini isinge enea kabisa. Kizuri ni kuwa ukihama uislam adhabu yake ni kifo na ukimkosoa Mtume au Allah basi adhabu yako pia ni kifo.Huyu shetani ameleta Shida sana. Hivi wakuu nisaidieni pale ndio makao ya shetani?
Hiyo ndio Imani bana,ukiingia kiundani sana unaweza kufikia muafaka kuwa hawa jamaa ni machizii! ila ukweli ni kuwa uislamu unatakiwa uuamini na kuufuata bila kuhoji chochote na kama wangeruhusu kuhoji na kukosoa kwa wazi hii dini isinge enea kabisa. Kizuri ni kuwa ukihama uislam adhabu yake ni kifo na ukimkosoa Mtume au Allah basi adhabu yako pia ni kifo.