Watanzania waishio au waliofika Japan au wanaowafahamu Wajapan .Naomba kufahamu ABC kuhusu Wajapani

Ni tahadhari tu mkuu.. Hata Mh Sugu alidhani ye ni smart sana lakini clouds walimpiga project yake ya Malaria hakuamini. Ndio chanzo cha bifu lake na Ruge.... Kila heri. Kuna mmoja mjapani anaitwa KAZAKUKU FILAFISI. Kama watakuja nae mpe hi
Nimekusoma vizuri Mkuu Ushauri wako nitaizingatia Sana sana .
 
Are sure wewe ni Mjapani kabisa au umesoma kijapani hapo UDOM ukaelewa lugha ?
Au inaweza kuwa ulibahatikaa kwenda kusoma japana ukaelewa hiyo lugha
Au umetumia google translation
Asante pia kwa kuchangai huu uzi umenifurahisha kidogo Mkuu .
pw mkuu akija bw youshi kakuma unicheki
 
Hao ni wengi tu mwingine anaitwa Taka ***** naye yumo Pamoja na Kata vuzi
 
Kama jamaa alivyosema hapo hapo, wachapakazi, waaminifu na siyo mafisadi hivyo wanatarajia hilo kutoka kwako pia

Pili, kama ni mara yao ya kwanza kufika tz focus sana kukakmilisha kilichowatuma, vile vile kujua mighahawa mizuri yenyewe vyakula vya aina/tamaduni tofauti,usiwapelekele kwenye makelele ya mziki na malaya, kuwa strictly professional...kuwa on time na jitahidi plans zenu hazikwani kwa sababu yoyote ile

Usisahau kuwaonyesha vivutio vya utalii na mahali wanapoweza kununua souvenirs...wakiwa wanaondoka usiache kuwapa zawadi kama vile kahawa, chai, african print cultures & clothes
 
Sasa hizi comments nyingine zina maana gani..?
kama hiii
Kuna uwanja wao unaitwa Kumamoto
Kuna Mwenyekiti Wa Mtaa anaitwa kahara kokoto
Halafu Kuna mchezaji wa zamani wa Belgium ana itwa Mboo mpenza aliwahi kushiriki mashidano ya world cup 2002(korea and japan) aliwahi kucheza katika huo uwanja. .

Gazeti 1 la bongo lika toa habari yake --nakumbuka heading ilikuwa inasomeka hivi

MBOO NDANI YA ****-MOTO
Write your reply...
mkuu kama hao wajapani ni ke usisite kunshtua wakija
me mwenyewe mjapani pia afu vitumbua vyao vipo tight!
:D:D:D:D:D:D:D:D:D:D:D:D
 
Ni watu waaminifu sana, na ni watu wema sana, hawajui longo longo, mkishakubaliana mmekubaliana, sio watu wa kugeuka geuka, wengi wao hawajui uongo maana yake ni nini, wao ni zaidi ya walokole japokuwa hawana dini, kazi kwao ndiyo kila kitu. Kwao hakuna jobless.
 
Mwezi uliopita (June) tulipata ugeni wa hawa watu,kwanza wanajali muda sana pia wachapakazi.

Longo longo kwao hakuna ,wanapenda lugha yao.Mjapan hata kama anajua english yeye haitumii anaongea Kijapan tu.

Note: Watu kutoka bara la Asia tukianza na Wahindi,Waarabu,Wachina,Wakorea,Wajapan e.t wanadharau sana kufanya nao kazi yahitaji moyo.
 
Halafu Kuna mchezaji wa zamani wa Belgium ana itwa Mboo mpenza aliwahi kushiriki mashidano ya world cup 2002(korea and japan) aliwahi kucheza katika huo uwanja. .

Gazeti 1 la bongo lika toa habari yake --nakumbuka heading ilikuwa inasomeka hivi

MBOO NDANI YA ****-MOTO
Sasa utakimbiza watoto humu 😀 😀 😀. Anaitwa Bo Mpenza
 
Mwezi uliopita (June) tulipata ugeni wa hawa watu,kwanza wanajali muda sana pia wachapakazi.

Longo longo kwao hakuna ,wanapenda lugha yao.Mjapan hata kama anajua english yeye haitumii anaongea Kijapan tu.

Note: Watu kutoka bara la Asia tukianza na Wahindi,Waarabu,Wachina,Wakorea,Wajapan e.t wanadharau sana kufanya nao kazi yahitaji moyo.
He! Na waarabu nao kuna kazi wanaweza kufanya kwa akili kiasi cha kudharau watu wengine?
 
Back
Top Bottom