Mwenezi ACT
Member
- Apr 11, 2015
- 36
- 7
Hivi kuna sku CCM iyaachwa kuongozwa kiukoo? Naombeni msaada wenu....... naona mumo wa CCM katika uongozi hautofautini na CHADEMA labda CHADEMA wapo kikandazaidi........
Hahaha... Wewe nawe ni mwenezi wa ACT. Inlalilahi wa inlailaihi rajiuuunHivi kuna sku CCM iyaachwa kuongozwa kiukoo? Naombeni msaada wenu....... naona mumo wa CCM katika uongozi hautofautini na CHADEMA labda CHADEMA wapo kikandazaidi........