jr.kiyn
JF-Expert Member
- Mar 17, 2013
- 785
- 4,847
Sijui hii ipoje wanajamii,nilikuwa nakunywa chai kwenye migahawa yetu ya hali ya kawaida yani mabenchi ndo mwake na meza ndefu, sasa akaingia jamaa mbavu nene flani hivi.
Sasa wakati ameingia hakusalimia mtu yeyote na hata yule jirani yake alipoanza yeye japo kamkuta jamaa akapiga kimya basi kila mtu na hamsini zake tukawa tunapata chai.
Balaa lenyewe lilianza pale yule jamaa mwengine alipomaliza kunywa chai bhana,si akasimama ili aende zake hamadi jamaa chalii kwani alikuwa pembezoni mwa lile benchi.
Jamaa kainuka akamkwida jamaa huku akilalama kwanini hajamwambia kuwa anainuka,ikabidi wote tuingilie kati tukawaamua.
Sasa embu tuliangalie hili hivi inakuaje mtu akuambie wakati wa kuondoka hali ya kuwa hata salamu yake uliitupa? dah tuweni wastaarabu kwa kutoa salamu tunapowakuta walio tutangulia kwani huo ndo utamaduni wetu kama watz....