Watanzania tusiichoke amani

Hakuna amani pasipo haki, himiza watu watende haki halafu ndio uongelee amani.
 
Ujinga ni ule ambao unapinga amani kwa sura ya haki.....

Hivi huoni ni haki yako ya msingi wewe kupata amani....ili ikusaidie ufanye yako huku ukijenga familia iliyo bora...!!!
Ni kosa mtu akidai haki yake?
 
Akivunja sheria lazima atapigwa sana tu
Hivyo huu ndio uchaguz rahis kwenu mlifikir ule mtelezo wa yule Mgonjwa ELIMI ELIMU ELIMU
xaxa mnakula spana hamkuami km nyinyi mlipiga kampeni miaka mitano na yeye MIEZ MITATU
Nyinyi wadogo xana kisiasa
 
Uchaguzi wa 2015 ulikuwa mgumu Kwasababu Lowasa aliungwa mkono hata na watu waliokuwa jikoni

Sasa huyu msaliti wa Nchi anaitisha press zinaenda online media tu [emoji3][emoji3]hadi huruma

Sasa wa mwaka huu Basi mpk waliochumban ww endelea kujifariji tuu
 
Uchaguzi wa 2015 ulikuwa mgumu Kwasababu Lowasa aliungwa mkono hata na watu waliokuwa jikoni

Sasa huyu msaliti wa Nchi anaitisha press zinaenda online media tu [emoji3][emoji3]hadi huruma
Unaona mmemzibia kila sehemu na jamaa anatisuwa tuu usijidamganye km huu ni rahis KWAKO
 
Sio kwamba amezibiwa, hakuna media ya maana inaenda kutegesha maiki kwa lissu anayeropoka matusi
Unaona mmemzibia kila sehemu na jamaa anatisuwa tuu usijidamganye km huu ni rahis KWAKO
 
Ndio nakuambia Tanzania kuna haki kuliko kwa wavamizi wazanzibar kutoka Oman

Wanaojihisi Zanzibar ni kwao kuliko wazanzibari wengine

Uchaguzi wa 2015 ulikuwa mgumu Kwasababu Lowasa aliungwa mkono hata na watu waliokuwa jikoni

Sasa huyu msaliti wa Nchi anaitisha press zinaenda online media tu [emoji3][emoji3]hadi huruma
Bia yetu

Kwenye dini kuna suala linasema bora ya elimu ni elimu ya hali. Na bora ya vitendo ni kuihifadhi hali.

Elimu hali ni elimu ambayo imekusanya ufahamu wa elimu ya dini na kuielekea elimu ya kisekyula! Au imekusanya elimu ya dini na elimu ya kisekyula.

Ninachokiona kwa mtawala wa sasa ni uharibifu! Usiwe sehemu ya uharibifu.
 
Uharibifu upo Chadema Kwasababu wanaharibu amani ya Nchi yetu
 
Anaye taka kuvuruga amani ya nchi hii ni Jiwe na genge lake.Najua si ccm wote wenye roho zakinyama kama hawa Warundi waliojivika u Tanzania.Lissu amekwisha sema yeye atakuwa wakwanza kukubali kushindwa kama atashindwa kwa haki
Je umemsikia Jiwe akisema lolote kama atashindwa?Yeye anajiaminisha ushindi kwakuwa anategemea njia za hila,
Sasa hakika Jiwe na kampani yake wanakwenda kuligharimu Taifa.
LAKINI MAPENZI YA MUNGU YATIMIE.MUNGU KWAKUWA YEYE NI KWELI NA HAKI,BASI ATASIMAMA KTK KWELI NA HAKI.
 
Anza na Neno HAKI theni AMANI lifate
 
Huu ujumbe uelekeze kwenye Tume ya uchaguzi, Msajili, TISS na polisi.
 
Tatizo tumeishi kwa hofu na kunyimwa nafasi ya kuuliza hadi bungeni.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…