Abuu Dharr
JF-Expert Member
- Dec 28, 2017
- 2,912
- 3,022
Ujinga ni ule ambao unapinga amani kwa sura ya haki.....Bila HAKI Amani ni Ujinga tu.
Swali la Mtu mzembe na mvivuNauliza tu wakuu ivi mtu mwenye njaa asiye na matumaini yoyote anaona umuhimu wa Amani kweli kwake?
inakupasa wewe ushirikiane na Serikali yako katika kulitatua hili Chiefimhotep
Hao watu wanaotusihi tudumishe amani, mbona hawaulizi ni kwanini nchi yetu imekuwa na msamiati mpya ya WATU WASIOJULIKANA?
Hivi wanadhani kuwa nchi yetu itaendelea kudumisha AMANI, wakati watu wanapotea bila kujulikana wako wapi?
Bila HAKI bro hakuna Amani ni kujidanganyaUjinga ni ule ambao unapinga amani kwa sura ya haki.....
Hivi huoni ni haki yako ya msingi wewe kupata amani....ili ikusaidie ufanye yako huku ukijenga familia iliyo bora...!!!
Bila HAKI bro hakuna Amani ni kujidanganya
Bado watu hamjitambui kumbe!
KamusiHaki kwako ni ipi?!
Amani bila haki ni muhali leta haki ulinde AmaniKuna mgombea amshakata tikiti ya kurudi kwao ubeligiji
Anawadanganya vijana waandamane baada ya Watanzania kumkataa
Nitashangaa vijana kuandamana Kwasababu ya msaliti wa Nchi
Amani bila haki ni muhali leta haki ulinde Amani
Wacha uzwazwa na ujinga Tanzania ni Nchi ya KIDEMOKRASIA Omani ni ya Kifalme unafananishaje ???Haki ipo Tanzania kuliko hata Oman
Wacha uzwazwa na ujinga Tanzania ni Nchi ya KIDEMOKRASIA Omani ni ya Kifalme unafananishaje ???
Ya ZANZIBAR ww hayakuhusu mkoloni mweus ww umetawalia na Muengereza mbona sisi tupokimya wacha ukikekike shuhulikia spana za Tundu si mliomba mletewe kijana hamtaki shikamoo kijana mmeletewa huyoo mnahangaika nawe mabomu kila kona na bado shenz nyinyi tuone mwaka huu Jeshi mtapeleka Zanzibar au myalibakisha TANDAHIMBNdio nakuambia Tanzania kuna haki kuliko kwa wavamizi wazanzibar kutoka Oman
Wanaojihisi Zanzibar ni kwao kuliko wazanzibari wengine
Ya ZANZIBAR ww hayakuhusu mkoloni mweus ww umetawalia na Muengereza mbona sisi tupokimya wacha ukikekike shuhulikia spana za Tundu si mliomba mletewe kijana hamtaki shikamoo kijana mmeletewa huyoo mnahangaika nawe mabomu kila kona na bado shenz nyinyi tuone mwaka huu Jeshi mtapeleka Zanzibar au myalibakisha TANDAHIMB
Mbovu mmekodi mpka Jeshi la hakiba nani bado hamjamtia uwanjaniHuyu lissu yuko hoi tumempa chalenj akipata kura laki tano yeye ni kidume
Toka nianze kupiga kura sijawahi kushuduia mgombea mbovu wa upinzani kama huyu msaliti wa Nchi Lissu
jeshi lipo kila kona kulinda amani, km hamuamini fanyeni vurugu hata mkiwa chumbani
Mbovu mmekodi mpka Jeshi la hakiba nani bado hamjamtia uwanjani
Mecela tayari...
Yeye anatoshaa ongeza mabomu ya machoziMwiteni Robert yule asiyekuwa na mke amsaidie msaliti wa Nchi Lissu afikishe kura walau laki tano