Upanga Mkali
Member
- Dec 24, 2014
- 96
- 83
Watanzania tuogope magazeti ya mtanzania, mwananchi na nipashe ambayo kila kukicha yeyewe yanamtafuta rais wetu mhe. Jakaya mrisho kikwete. Lazima tujiulize kwa nini hawa hawamuheshimu raisi wetu, maana kila kukicha wao wanang'ang'ania muhongo aondoke.
Tunajua hawa wote wamepewa fedha na mengi kwa ajili ya kazi hiyo tu. Wanaacha kuwataarifu watanzania mambo ya maendeleo, wao wanafuatilia masuala ambayo hayajengi kwa watanzania. Angalieni gazeti hili la mtanzania 21,1,2015 limeandika siku za muhongo zimekwisha, sasa wao wanamuongelea rais?
Kwa nini wasikae kimya kusubiri maamuzi ya rais? Kama watanzania wote wanajua halihalisi ya escrow akaunti ilivyokuwa na mkakati ulivyofanywa na wafanyabishara na wale walionyimwa vitalu. Mbona wao hawamzunguzii zito aliyechukua fedha za iptl kutoka kwa singa singa?
Kila siku wao wanazungumzia mtu mmoja tu, mtu mwenyewe tukisoma taarifa ya cag hatuoni mahali ambapo anahusika, ni kwa nini hawataki kuandika ukweli uliopo? Wanatafuta watanzania ni mbumbumbu hatuelewi kinachoendelea? Magazeti haya tunajua yamepewa fedha nyingi waandike kichwa cha habari muhongo.
Juzi pia tulisikia lembeli nae akizungumzia suala hilo hilo, wote tunajua lembeli amepewa fedha na lazaro nyalandu kumtangaza. Tujiulize lembeli ni mtumishi wa wizara ya maliasili? Kwa nini kila siku anasafiri na nyalandu? Kama yeye nae ni mtumishi wa wizara hiyo? Amepewa fedha kwa ajili ya kuichafua ccm tu.
Hapa majuzi lembeli kahongwa milioni 20 na nyalandu kupoteza watu wasizungumzie masuala yake ya kimada, na alipewa maelekezo kuhakikisha anazungumzia suala la escrow na muhongo kwa kuwa akizungumza hilo magazeti yataacha kuandika habari zake.