Upekuzi101
JF-Expert Member
- Aug 28, 2020
- 477
- 1,018
Umeme ni muhimu sana kwa maisha kwakua huchochea uzalishaji, biashara na maendeleo kwa ujumla. Umeme hufungua fursa za ujasiriamali na kuongeza kipato cha mwananchi na kupunguza ugumu wa maisha.
Watanzania kwa muda mrefu tumefunga mikanda tukajenga bwawa letu wenyewe kwa pesa zetu wenyewe tukiahidiana kuwa likikamilika umeme utakuwa ni shendere na kila mtu ataenjoy. Sasa bwawa limekamilika, serikali tunahitaji umeme USHUKE bei sasa. Unit moja inapaswa kuuzwa angalau shillings 1 ya kitanzania, wananchi tunahitaji tufaidi matunda ya pesa zetu tukiwa bado hai, hatuhitaji tena adithi na ahadi. Wakati ni sasa.
Hii Tanzania siyo nchi ya wajinga tena, Tanzania kila siku kwa ujumla nchi nzima inatumia megatt 1500, bwawa letu linazalisha sasa 2100 meggawatt, Ina maana ziada ya umeme ni kubwa hivyo mnapaswa pia kupunguza bei kwenye umeme wa viwandani angalau kupunguza running cost kwa MWEKEZAJI hivyo kiasi kikubwa cha mapato kinawezapatika Kama faida ya moja kwa moja kwa MWEKEZAJI wa ngazi yoyote kuanzia mkubwa, wa kati na mdogo kabisa ambao wengi wao ni sisi watanzania.
Mama Samia fanya jambo moja la kishujaa Leo na utupunguzie bei ya umeme. Umeme ni maisha kwa mtanzania. Legacy yako ni kutangaza kushusha bei ya umeme.