unprejudiced
JF-Expert Member
- Jan 27, 2017
- 3,503
- 2,870
Chukulia sakata la makontena kama mfano tu. Halipendezi kama. Mambo yetu mengi tu.
Kwa uzoefu wangu Mdogo Ingawa niko Ulaya Sasa more than 10 years, Watz hatupendani. Wengi tumefika tulipo kwa njia nyingi ambazo pia zipo zisizo Halali. Lakini Watanzania habari mbaya kwa wengine tunazifurahi sana. Mission town za makontena Sio jambo La ajabu bongo. Ila wabongo tuna wivu na husda sana. Tunapigana sana Majungu. Na nyuma ya Keyboard, kila mtu mwema hata Jambazi aliyefanya mauaji atakuja humu na Kuandika kuhusu wasiojukana. Na watu watadakia juu kwa juu kama walikuwapo. Hata Mada za humu nyingi zahusu Watu binafsi Majungu wala Sio ya msingi kwa ajili ya Maendeleo yetu. Endeleeni tu. Ila mjue tunajiangusha wenyewe.
OvaUmekaaUlaya zaidi ya miaka 10.
Unafahamu kitu kinaitwa "Rule of Law" ?
Mbona unaandika kama ngumbaru?
Including jiwewatanzania wana husda kweli mkuu 100% ni wanafiki tu
Ulaya gani unayokaa unayotetea mtu kuwa juu ya Sheria, labda ulaya ya koromije....Chukulia sakata la makontena kama mfano tu. Halipendezi kama. Mambo yetu mengi tu.