Troll JF
JF-Expert Member
- Feb 6, 2015
- 7,804
- 12,233
Wakuu nimependezwa na wananchi Bila kujali kuwa wewe ni CHAUMA, TLP, Jahazi Asilia, ADC, ACT, na vyama vingine vyote nilivyovisahau tunamuheshimu Rais ni jambo la Kushukuru Mungu na linaonesha mshikamano kwenye nchii hii iliyojaa Kila sifa ya Utulivu na Amani.
Ninaona watanzania wengi wanaona Yale Mabadiliko ya Kweli yaliyokua yakihubiriwa wakati wa Kampeni za Mwaka 2015.
Tuendelee hivi hivi mi naamini hakuna chombo cha Dola kitakachomsumbua Mwananchi asiye na Hatia.
Pia tuwaombee Ndugu zetu waliotekwa na Watu wasiojulikana wapone na warejee haraka Mimi Mwenyewe Nasikitishwa na Suala la Ben Saanane naamini yuko kwenye Mikono Salama na Atarudi Muda ukiwadia kama alivyorudi Roma.