Watanzania tulikosea wapi?

Ahead

JF-Expert Member
Joined
Jan 11, 2013
Posts
2,410
Reaction score
2,736
Hali inayoendelea nchini siyo afya kwa taifa kama letu ambalo linaendelea kukua kuelekea maendeleo ya kweli,
toka uchaguzi umalizike bado tunajadili mambo,yale yale.Baada ya kupata viongozi nilitegemea tukae chini tupange
mikakati ya maendeleo yetu na viongozi wetu tusikilize mawazo yao tutoe ushauri wetu nasi tushiriki kwenye shughuli
za maendeleo kwanini miaka yote hii tunahangaika na viongozi watakao kuja, kila mtu anahangaika kumpigia debe mtu
wake.Kwanini tusisubiri kipindi maalumu cha uchaguzi kifike,maana watu binafsi ,vyombo vya habari,mitandao ya kijamii
ni mijadala ya urais,urais...Ndugu zangu taifa linatutegemea kutoa michango ya maendeleo na kuijadili,tuangalie tulipokosea tusirudie kama tulikosea kuchagua viongozi waliopo madarakani tuangalie muda mwafaka ukifika tuweke watu
makini. Maana ilivyo sasa nikama watu hawajaridhika na viongozi waliowachagua wenyewe ndio maana mijadala hii haishi,tuwe makini siku hazigandi miaka kumi ni mingi sana kama tungekuwa 'serious' na mipango ya maendeleo leo tungekuwa mbali sana.

Asanteni,Mungu ibariki Tanzania,Nitabaki milele Tanzania!
 
Ooow, you're sad? Poleeee...
Wewe kama wewe ummefanya nini wakati sisi tunajadili urais?
 
CCM kuikamia CDM ndio matokeo yake hayo. jamaa hawana vision yoyote ya maendeleo bali katika vikao vyao ni kupanga mikakati ya kuiua CDM ili 2015 CCM iendelee kutawala!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…