Moja ya kauli za Rais Wetu Magufuli "TUJIAMINI" bila shaka anamaanisha na anaongea kwa kujiamini sana,bila shaka nasi wananchi inabidi tujiamini.
Ingawa nchi inapitia kipindi kigumu kidogo ila kwa miaka hii mitatu lazima tumpe HEKO raisi wetu amefanya mambo makubwa kwa muda mfupi kuna mambo mengine tulikua tunaona na vitu vya kusadidika kwa nchi yetu ila sasa vinatokea,Miradi mikubwa inaendelea kwa sasa achana na mambo ya Angani tujiamini Watanzania.
Wafanyakazi raisi alisema ataongeza donge nono kwenye Mishahara sina shaka na hili raisi aaminike ipo siku mtakuta suprise kwenye Mishahara yenu raisi amekua mkweli na kutimiza kile anachokisema.
Tumwamini Rais na TUJIAMINI.
Heri ya Christmass