na hili ndilo jibu alilo nalo mtoa mada kichwani alitaka tu kusikkia wengine watasemaje!!Kweli kabisa!Mi mwenyewe nna tabia hiyo!Mtu akiniambia yuko nje nampapatikia kama pesa!Hata kama hatukuwahi kuzoeana sana ntajifanya kama vile tu mabeste ili anipe dili!
fb ya watoto
Mimi sijui facebook inafananaje.
Ya fb tuyaache fb labda uedit hapo uweke jf nitoe makoments.
Hata hivyo kwani mtu akikuuliza habari za maisha wakati upo ulaya unafikiri atakuomba nauli aje huko au??
Ulaya ilikuwa zamani
Nakupenda comment yako.
sahivi ulaya kama mbagala. Eti eeh?
Hadi kikwete ndani ya facebook,lowasa,slaa ndani ya facebook,hata nyerere alikuwemo facebook,obama ndani ya facebook,duh hawa pia watoto ....inaonekana wote washamba hata facebook hamuijuiiii,FB ya watoto
Hadi kikwete ndani ya facebook,lowasa,slaa ndani ya facebook,hata nyerere alikuwemo facebook,obama ndani ya facebook,duh hawa pia watoto ....inaonekana wote washamba hata facebook hamuijuiiii,
Pia ulaya musifananishe na mbagala kabisaa,,,,,,miaka mia tanzania haitofika kiwango cha maisha ya ulaya,bongo ndo kwanza munalia na umeme ikisha munasema mbagala ulayaaa
anaepewa sh 500 akala mihogo na anaepewa hela hiyo hiyo akanunua gazeti nani mtoto?
Anaepewa milion 1 na akanunua pamba na bia na anaepewa hela hiyo hiyo akaanzisha biashara nani mtoto?
Utoto hapa hatuongelei maumbo yao na umri. Tunaangalia akili zao na namna wanavyotumia hiyo fb. Watoto wamejaa kule.
Ulaya kama mbagala muda wowote unafika, pesa yako tu.
Nakutakia mabox mema.
Nani kakudanganya na ulaya gani hiyo unayoisema wewe??