KATIKA MWEZI HUU NI WEWE PEKEE ULIYE KUJA NA UZI MUHIMU...wapinzani wasipo dai Tume huru yote yatakua kama kutwanga maji kwenye kinu kwanini , sababu
Watu washa kata tamaa kupiga kura.2020..kwani wanaamini hakuna haki....
Mtu aliye teuliwa na boss tena ndio amempa mkate hawezi kumuangusha, sasa ukiangalia wahusika ambao ndio wasimamizi na walinda masanduku ni wateule wa mwenyekiti wa chama flan ambae pia ni raisi..yaan ni kama simba na yanga alafu kocha wa timu pinzani ndio akutafutie kipa ,refa na vibendela
What do you expect?
Magufuli hakuna kuwapa tume huru Kwa sababu watanzania Hatutaki Hawa wapinzani Watetezi wa wauza ngada washinde kiti chochote . Ni bora tuwe chini ya ma CCM kuliko upinzani wa Sasa. Upinzani ovyo
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.