MWAKISALU
Senior Member
- Nov 1, 2013
- 100
- 46
Binadamu wengi tunajisahau sana na pengine kujiona si wahusika ktk masuala yote ya ujenzi wa taifa.
Tunamchagua Rais kama Kilanja tu wa kutusimamia na kuwa na maamuzi ya mwisho juu ya jambo fulani kwa muujibu wa sheria. Na ndiyo maana ni Rais pekee aliyepewa mamlaka ya kusamehe na kutoa amri ya mwisho juu ya jambo fulani.
Kimsingi haitakaa iwezekane kwamba kuna siku watanzania wote tutakuwa na msimamo mmoja juu ya jambo fulani. Siku zote tofauti za mawazo ndiyo inatufanya tuendelee na ku-geminate fikra mpya zenye mlengo chaya wenye maendeleo
Nchi inajengwa na mtu mmojammoja. Yaani mawazo ya mtu mmojammoja ni muhimu sana kwa ujenzi wa taifa.
Ingekuwa hatulaumu isipokuwa tunakuja na majibu juu ya jambo fulani tungekuwa tunafanya jambo jema na jengefu kwa ustawi wa taifa letu.
Haitakaa iwezekane kwamba watanzania wote tutaajiliwa serikalini. Na vilevile siyo sahihi kabisa kwamba mwajiliwa serikalini ndiye mwenye maamuzi ya mwisho juu ya namna ya kuendesha maswala ya nchi na ofisi za uuma. Rahasha mwajiliwa wa serikali ni kama mtumwa ktk shamba la mkoloni.
Mwananchi wa kawaida asiye mwajili wa serikali ndiye mwenye kauli kubwa na nzito juu ya uendeshaji maswala ya nchi. Kosa ambalo wananchi wa kawaida wanalitenda ni kujiona si sehemu ya ujenzi wa nchi yao. Hili limewafanya walioajiliwa na serikali kujiona ndiyo wenye hati miliki juu ya uendeshaji wa nchi.
Naomba wajiliwa wote wa serikali tusifanye kazi kama mwingu watu. Kazi yetu kubwa ni kutoa huduma stahiki kwa wananchi. Hatupo juu ya sheria hata kidogo. Mishahara tunayolipwa ni kodi za wananchi.
Wananchi tunakuombeni muonapo mtumishi wa uuma anafanya kazi kibaguzi na hajali mahitaji ya wananchi hafai kuendelea kutumikia uuma wa watanzania.
Tusiogope kutoa ushauri juu ya ujenzi wa taifa. Taifa ni letu sote, si hati miliki ya mtu mmoja ama kikundi cha watu.
Mhe Rais anaimani kubwa sana na wananchi wa kawaida. Na anategemea sana kupata mawazo yao wananchi ktk ujenzi wa taifa. Tumieni mitandao ya kijamii kuzungumza masuala ya ujenzi wa taifa na toeni ushauri mnapoona inafaa. Fichueni watu wabaya na wabaguzi na wabadhirifu ktk utumishi wa uuma.
Mungu ibariki Tanzania na watu wake. Tunakumbushana wajibu wetu. By Mwakisalu. +255784636261
Sent using Jamii Forums mobile app