Tafadhali usivunje Amani kwa ajili ya wapuuzi wachache, Kamwe Mtanzania usiumie kwa ajili ya mtu mmoja South Sudan wanapata shida kwa ajili ya watu wawili walafi. Wanaendelea kupandikiza Chuki ili wakishindwa ionekane wameibiwa nawachukia sana walafi wa Chadema, Tarehe mosi september ndo mwisho wako, sheria imetungwa kwa ajili ya watu kama wewe.
una vitisho vya kishamba sana ! ni hivi , kila nchi iliyokombolewa kulikuwa na mamluki na wachumia tumbo kama wewe , sijawahi kuona nchi inatunga sheria ili kudhibiti kundi moja tu , ni dhahiri sheria yenu mmeitunga kwa ajili ya jf peke yake , lakini nakuapia kwamba tutawakomesha mahakamani , wanafiki wakubwa nyie !Tafadhali usivunje Amani kwa ajili ya wapuuzi wachache, Kamwe Mtanzania usiumie kwa ajili ya mtu mmoja South Sudan wanapata shida kwa ajili ya watu wawili walafi. Wanaendelea kupandikiza Chuki ili wakishindwa ionekane wameibiwa nawachukia sana walafi wa Chadema, Tarehe mosi september ndo mwisho wako, sheria imetungwa kwa ajili ya watu kama wewe.
na baada ya serikali mpya ya UKAWA kuingia madarakani ( maana tumejiridhisha kwamba tutashinda kwa 70% )tumekubaliana kuifutilia mbali sheria hii ya udhalilishaji .Hiyo Sheria unayotishia watu 01 Sept ni ya kishetani na washwtani tu ndo wenye kuitumia kama nyenzo za kuishi kwa hila na ujanja ujanja!
Ingia Barabarani ndo ujue kuna utawala wa sheria, nakuonya tena hatutaruhusu maumivu ya aina yoyote kwa Raia wasio na Hatia, Raia ambao mara nyingi ni victim wa siasa chafu, There is no Noble cause in whatever Lowassa na Chadema are Fighting for, Better kusubiri kuliko kupoteza kila kitu.una vitisho vya kishamba sana ! ni hivi , kila nchi iliyokombolewa kulikuwa na mamluki na wachumia tumbo kama wewe , sijawahi kuona nchi inatunga sheria ili kudhibiti kundi moja tu , ni dhahiri sheria yenu mmeitunga kwa ajili ya jf peke yake , lakini nakuapia kwamba tutawakomesha mahakamani , wanafiki wakubwa nyie !
na baada ya serikali mpya ya UKAWA kuingia madarakani ( maana tumejiridhisha kwamba tutashinda kwa 70% )tumekubaliana kuifutilia mbali sheria hii ya udhalilishaji .
Ingia Barabarani ndo ujue kuna utawala wa sheria, nakuonya tena hatutaruhusu maumivu ya aina yoyote kwa Raia wasio na Hatia, Raia ambao mara nyingi ni victim wa siasa chafu, There is no Noble cause in whatever Lowassa na Chadema are Fighting for, Better kusubiri kuliko kupoteza kila kitu.
Ingia Barabarani ndo ujue kuna utawala wa sheria, nakuonya tena hatutaruhusu maumivu ya aina yoyote kwa Raia wasio na Hatia, Raia ambao mara nyingi ni victim wa siasa chafu, There is no Noble cause in whatever Lowassa na Chadema are Fighting for, Better kusubiri kuliko kupoteza kila kitu.
Poor Strategy, mnadhani mtashawishi watu mmeibiwa kura kwa sababu mnajaza watu mkutanoni? Yanga pia Inajaza watu, Diamond anaweza kua rais kama ndo hivyo ndo watu wanalipa kumuona acha lowassa anayelipa kuonwa. Pathetic!Unazungumzia raia wapi au unao wa kwako kuzimu! Kama ni raia umewaona Huku Dar, Ars,Mbeya, Mza na Zanzibar Kwa maelfu! Wa kwako ndio polisi na Jeshi labda! Mzoea kuishi kulingana na Hisani ya Polisi na mwisho wa haya ni Mwaka huu! fikiri kuishi kupya!
Vipi wakituma matokeo ambayo sio sahihi? Ndo uvunjifu wa Amani wenyewe. NEC ndiyo yenye mamlaka ya kutangaza Matokeo. Usiwe na shaka kua raia mwema fata Sheria Sheria ya mitandao ipo kwa ajili ya wahalifu. Yatakuepo mashirika ya kimataifa ya Ndani na Nje ili kuhakikisja zoezi linafanyika kwa haki na uhuru, hatakudhuru muhuni hata mmoja nakuahidi.nilikuwa nafikilia itengenezwe tovuti ambayo mawakala wa vyama vyote watapata fulsa ya kupost matokeo ya kila kituo pale wanapomaliza kuhesabu kituo. hiyo tovuti iweze kuzijumlisha kura za kila kituo za udiwani,ubunge na uraisi na kutoa matokeo ambayo si rasmi kadri kula zinapo hesabiwa. Ninaweza kutengeza hiyo tovuti na kuihost bure ila naogopa sheria ya mtandao isije ikanila.
Poor Strategy, mnadhani mtashawishi watu mmeibiwa kura kwa sababu mnajaza watu mkutanoni? Yanga pia Inajaza watu, Diamond anaweza kua rais kama ndo hivyo ndo watu wanalipa kumuona acha lowassa anayelipa kuonwa. Pathetic!
Nani anaishi Kijanja na kiwiziwizi? Chadema wanaishije? Chama kimejengwa kwa Lawama, Kashfa na Malalamishi na ndio sasa mnameza matapishi yenu. wakati CCM inajisafisha nishi mnadhirisha uchafu wenu kwa kukusanya Taka za CCMWingi wa watu si ndio mtu anamvuto au uchache ndio mvuto? Hii kawaida ya kutumia Tume ya rais ya uchaguzi si kigezo na mtadondoshwa tu! Siku sio nyingi mtaona makuu! Mungu hapendi watu waishi kijanja kijanja na kiwiziwizi!
Nani anaishi Kijanja na kiwiziwizi? Chadema wanaishije? Chama kimejengwa kwa Lawama, Kashfa na Malalamishi na ndio sasa mnameza matapishi yenu. wakati CCM inajisafisha nishi mnadhirisha uchafu wenu kwa kukusanya Taka za CCM
CCM ilikua na wagombea takribani 38, Upinzani mgombea mmoja ambaye hakushindanishwa, hakijui Chama (Misingi na Imani), hana sifa,unataka kuniambia Bila lowassa Upinzani usingekua na Mgombea, and u fuckn dare talk about utaratibu? I wish uwe jirani yangu wakati nasema haya nikusindikize na kelebu.Kizungumkuti cha mchakato wa uteuzi wa majina matano kinaonyesha namna bora na ya wazi CCM yenye miaka mingi tangia 1977 kama chama kisichokuwa na utaratibu na ndio hivyo wamekuwa wakiongoza nchi hii kiaina aina! Kulinganisha CDM na CCM naona bado ni upofu wa kutoona kabisa!
CCM ilikua na wagombea takribani 38, Upinzani mgombea mmoja ambaye hakushindanishwa, hakijui Chama (Misingi na Imani), hana sifa,unataka kuniambia Bila lowassa Upinzani usingekua na Mgombea, and u fuckn dare talk about utaratibu? I wish uwe jirani yangu wakati nasema haya nikusindikize na kelebu.