Watanzania jinsi walivyo

Asovene

JF-Expert Member
Jan 7, 2017
213
216
Kwa uchunguzi wangu nimebaini watanzania ni watu wenye akili sana duniani labda kupita mataifa kadhaa,
1.Hawashindwi na jambo hata liwe gumu vipi atakomaa.
2.wanajua kila kitu utadhani ni google wanajua kuchambua michezo,siasa,hali ya hewa,dini nk
3.wanaweza kufanya vitu hambavyo hawakusomea,mf.unasomea ualimu lakini unalima vitunguu,anayesoma shahada ya sheria ana darasa la tusheni na hachagui wanafunzi,aliyemaliza diploma ya uuguzi anafanya bodaboda
4.ukikutana na mbongo muulize chochote utajibiwa tu,
 
Back
Top Bottom