Watanzania ifika muda tuache unafiki. yani leo kila mtu anamjua sana goddizila,watu wanakujua sana ukifa tu...

sosssy

JF-Expert Member
Nov 17, 2017
668
534
Toka kuripotiwe kifo cha msanii godizila naona instagram,whatsapp status zimechafuka . yani watanzania sisi ni watu wa ajabu sanaa, week mbili nyuma kuna chombo cha habari kilirepot kwamba "msanii godizilla amekua mlevi wakupindukia" lakini hakuna alieshtushwa na hilo wala hakuna alie chukua hatua yeyote.... leo amefariki ndo sasa kila mtu anajua hilo.ama kweli nimeamini ule msemo wa "ishi ulaumiwe kufa usifiwe"
 
Hizo ni " tabia za kifo " usiwalaumu watanzania
 
Hautakiwi kuwalaumu watanzania wote,
Yan mshabiki wa zilla atoke kigoma aje kumpa pole zilla dar??
Tulionesha mapenz ya dhati katika ngoma zake tupisapot ilipohitaj sapot na alizokua anatoa maboko hatukutoa kejeri

Binafsi nipo top 10 kwa walioguswa sana na huu msiba japo sina mchango. Only God knows

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ulitaka wafanyeje mkuu?

Kama mtu kawa mlevi kwa utashi wake mwenyewe, unawalaumu vipi watanzania?

Je, ni wote wanaokua walevi kupindukia wanastahili kuchukuliwa special au ni wasanii peke yao?

Usiwalaumu watanzania kwa matatizo binafsi ya mtu mmoja mmoja!

# Rest easy Godzilla the free style beast!

- KANA -
 
Mkuu watanzania hasa wasanii wanzake me nadhani wangechukulia serious pengine lisingekua kua limetokea la kutokea!!
 
Haa?
Hio mbona ni kawaida Sana kwa cerebrity yoyote akifa
Sio hapa tu popote pale

Baada ya wiki mbili,tunasahau na life linaendelea
 
Ni kawaida ya binadamu kukujali ukifa haimaanishi eti kama Nilikua nakuchukia ukiwa hai nikuchukie ukifa pia hapana
Mtu akifa ile ni safari nyingine na hakuna aijuaye ni muhimu kwa kila alie hai kumuombea aende salama haijalishi uhusiano wenu akiwa hai
Me hata nikisikia mafuriko haiti huko nasema tu Mungu awalaze mahali pema peponi sio lazima niwe nawafahamu

Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Toka kuripotiwe kifo cha msanii godizila naona instagram,whatsapp status zimechafuka . yani watanzania sisi ni watu wa ajabu sanaa, week mbili nyuma kuna chombo cha habari kilirepot kwamba "msanii godizilla amekua mlevi wakupindukia" lakini hakuna alieshtushwa na hilo wala hakuna alie chukua hatua yeyote.... leo amefariki ndo sasa kila mtu anajua hilo.ama kweli nimeamini ule msemo wa "ishi ulaumiwe kufa usifiwe"
Na wewe uache unafiki kupeleka kadi za mchango wa harusi kwa watu ambao haujuani nao wala hamjazoeana.
 
Back
Top Bottom