Watanzania, hatumjui Paul Makonda?!

Umeeleza meeee ngi kujalibu kuficha uovu, na mimi nijuze, yeye anapata kigugumizi gani kutoa cheti hadhalani? Kwani atakuwa wakwanza kutoa cheti au atanyang'anywa na wauza unga? Lakini pia uvamizi wa clauds kwa hisiya zako alienda kuchunguza madawa, sasa je kamishina aliyeteuliwa juzi hapa hayupo au hafai??! Utumie akili na wewe siyo kudhalau wengine kisa unafaidika na bashite.
 
Hoja yako ni nyepesi kujibu alichoandika Mdau.Ujipange
 
Hukiandika chochote zaidi ya kutaka kumsafisha mtu...Tume ya kuzuia ambayo ipo kisheria inafanya kazi yake.
 
Tanzania tungepata wenye akili kama wewe, 20tu tungefika mbali. Hongera sana. Tz tujue hili tunaenda shuleni kujifunza kusoma na kuandika to, lakini maarifa hutoka Kwa Mungu. Tafuteni maarifa acheni .....
 
Ndugu yangu ujue moto hauwezi kuuzima moto na chuma hunoa chuma kwa Gwajima ninachojua kuna kanisa hakuna chama na mange ni mwana harakati tu wote kwa pamoja walikuwa wakipaza sauti ya kutaka RC atoe vyeti vyake basi hakukuwa na kingine na kuepusha kelele za watanzania RC angeweka vyeti hadharan kelele zisingekuwepo kbs mkuu lakin ukimya wake ndo umefanya yote haya na mambo ambayo yamekuwa yakifanywa na RC ndo yamechochea watanzania kuwa na wasi wasi mf kutengeneza kipindi kwenye media na kwenda kuvamia na silaha na kulazimisha kirushwe hata kama sikusoma na kuwa na elimu kubwa najiuliza kwa ni kipi kigumu kuonyesha vyeti vyake na maisha yakaendelea au kwenda kuvamia kituo cha tv sina wasi wasi na utendaji kazi wake anajituma na kufanta yale wengingine walishindwa lakin watanzania wanataka vyeti watanzania walioondolewa kwenye nafasi zao wanataka RC aonyeshe vyeti tu hawataki kingine mi naenda zangu kunywa mbege baadae wangu
Naitwa kinguvu nguvu bin makame
 
Wewe jamaa kichwa chako ni tupu kama sufuria bila maji. Yaani wewe ni kichwa nazi.
1. Husemi kama jina la paul christian makonda na bashite albert daud ni mtu moja
2. Unasema zero yake huenda ilitengenezwa kwa kazi maalum. Huna akili, unadhani usalama wanataka watu vihio kama bashite
3. Yaani umewahi kusikia wapi mwanausalama akijifanya rafiki wa wahalifu hadi awe anapewa magari na safari za nje na hao wahalifu?
4. Eti makonda kutokuongea na mzee kamese na familia yake ni mkakati wa kiusalama, wewe ni mjinga wa mwisho. Mimi nina marafiki kibao usalama sina lakini tunaongea na kupigiana simu , kwanini ashindwe kuongea na watu alioishi kwao na ni sehemu ya mafanikio yake.
Sitaki kuongea mengi ila wewe ni mpuuzi, unatetea ujinga, unaonesha jinsi kichwa chako kilivyo wazi na huna uwezo wa kufikiri.
 
Kwa sababu watanzania wana vichwa vidogo kama bakuli wataamini ujinga uliondikwa kwa ufundi
 
Kweli mkuu umeandika [emoji122] [emoji122] [emoji122]
 
Mnajitahidi kupaka rangi juu ya tope.
 
Umechanganya mada kiongozi mapenzi ya siasa na RC dism yanaonekana wazi tena uzi wako ni chonganishi sana kwa chama cha mapinduzi angalia angenda yako kwa Nape na Mwigulu na ridhiwani. Angenda hizi sio. Unajua kuandika ila bila kufikiria umekariri vitabu jaribu kuwa una nyambua ulivyosoma.
 
Kwa hiyo wewe sio mtanzania?na kama ni mtanzania unaisadiaje nchi yako kutoka hapa ilipo?
 
Ukweli uko palepale, usichukulie watanzani poa, Makonda sio jina lake, na pia hakuwa na dhamira ya dhati kuhusu vita ya madawa ya kulevya, tutaongea theories kibaaao lkna huo ndo ukweli! Unawakebehi watanzania lkn na wewe ni yale yale kuquote theories za wengine hakutatui tatizo, kinachotakiwa awajibishwe kwa yote!
 
Hili bandiko laki ni grade A suger coated bulshit.unajifanya intuitive huku unapindisha ukweli na hypothesis zako za kifala,mwambia boss wako aweke vyeti ubaoni,mbona issue nyepesi sana.
Makonda ni mhalifu na jambazi na hajaanza leo wala jana,kama huamini uliza laptop zile za BVR za mkoa wa dsm zilipelekwa wapi na nani.huyu hanithi alipakuwa lori zima la vifaa vya serikali na kuvipiga bei afu unakuja kumtetea hapa.eti watanzania ni watu wa kufuatilia matukio,sasa unadhani tutafanya nini chengine kwa mdororo huu wa uchumi.
 
Seen
 
Pumba tuuuuuuu eti kwenda kuchunguza ungaaa ndo aende na mitutu ya bunduki mbona hajatoka kusema alienda kuchunguza madawa akili zako hazina akili
 
Kuna ma walking dead kibao. Hawaelewi lolote nchini Hapa. Uzi wenyewe mrefu nitarud kuusoma mwakani
 
Luende alionecha vyeti vyake hadharani ikulu na jamii ikaridhika na mjadala ukafungwa.

Tunataka vyeti vya Daud Bashite hatuwezibkuongozwa na fafafafafafafa.
 
Ni moja ya maandishi ya kijinga kabisa kupata kuandikwa tangu tuhuma za "RC" Makonda ziibuke. Ni la kijinga kwa sababu linataka kumwonyesha Bashite, ambaye tangu akisoma shule ya msingi historia inaonyesha kuwa alikuwa "zero" kichwani, kuwa aliandaliwa kuwa mtu maalum. Huu ni upuuzi wa kiwango cha juu sana, na andishi hili linataka kudhalilisha mfumo wetu wa usalama.

Kwa mtu yeyote mwenye akili timamu aliona namna hiki kinachoitwa vita dhidi ya madawa ya kulevya ilivyoendeshwa na "RC" Makonda kuwa ilikosa weledi na ndio maana haikuleta matokeo yoyote ya maana zaidi ya kuivuruga nchi na kuibua chuki. Ni hoja ya kipumbavu zaidi kujaribu kuonyesha kuwa uvamizi wa "RC" Makonda Clouds baada ya kukataliwa ujinga wake wa kutaka kudhalilisha Askofu Gwajima kupitia SHILAWADU, eti kwamba Bashite alienda kukagua madawa ya kulevya Clouds! "RC" Makonda haendeshi vita dhidi ya madawa ya kulevyabali anaendesha vita kwa ajili ya tumbo lake.Period! Hivi unataka kumlinganisha Bashite na Rais mstaafu J.M. Kikwete na Lukuvi?, serious?

Hivi mtu na akili zako unaweza kumfananisha Bashite na Kubenea? Ni jambo lipi ambalo Bashite amelisimamia na likafanikiwa? Kumpiga mzee Warioba au kumdhalilisha yule dada wa ofisi ya ardhi manispaa ya Kinondoni kwenye mkutano wa hadhara? Kubenea ni mkurugenzi mtendaji wa kampuni ambayo imesaidia serikali katika kupunguza tatizo la ajira nchini na kampuni yake inalipa kodi utamlinganishaje na Bashite ambaye kila siku anaanzisha jambo jipya lisilofika mwisho? Huyu ni "zero upstairs"!

Utamlinganishaje Bashite na meya wa Ubungo ambaye tumeona anachokifanya tangu akiwa Kinondoni. Ni kiongozi ambaye mambo ambayo anayafanya yanaonekana kabla hata ya kuhitaji tarumbeta ya vyombo vya habari!

Ni andishi refu lililojaa ujinga-tumewaambia hivi: mwambieni Bashite aonyeshe cheti chake cha kidato cha nne na shule alikosoma ili tufunge huu mjadala. Acheni kuzidi kuidhalilisha serikali kwa kujaribu kuhalalisha ujinga wa Bashite kwa kuonyesha kuwa unaratibiwa na usalama wa Taifa!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…