Watanzania, hatumjui Paul Makonda?!

Hizo ndio post za great thinkers
Mkuu nimekuelewa
Umefafanua vyema
 
ACHA MANENO,MAKONDA LAZIMA APELEKWE KWA PILATO,MAKONDA ANANG'OLEWA NA PILATO,KAMA BABA KAMKINGIA KIFUA NA YEYE ATAKWENDA NA MAJI KAMA SIO BUNGENI BASI 2020.
 
kweli uko vizuri, nimeamua kumuangalia Paul kama mtu bright sana na Mwenye mafanikio kwenye kazi zake asiyeyumbishwa na anajua what is next. alimwambia mheshimiwa raisi Ubungo, "inawezekana ukabaki peke yako kwenye vita hii"
Mtuhumiwa Wa wizi Wa vyeti amegeuka kuwa bright? Only in Tanzania
 
Porojo bhna
 
Njaa bana"unajaribu kuwatia watu baridi na kumfanya makonda ni SPECIAL AND FIELD AGENT"
 
Yote tisa, kumi ni Vyeti tu. Sisi hatuna tatizo lolote na yeye, Cheti tu.

Hata ukimtetea vipi bila Cheti tunajua ni SABUNI tu, kaniki hata uoshe vipi utabaki vile vile tu unless uichane.

Siku kikiwekwa Cheti hadharani tutaamini kweli Makonda ni kitengo..

[HASHTAG]#vyetimubashara[/HASHTAG]
 
Uvivu wa kufikiri huzaliwa na ujinga
 
Hana cha intelejensia yoyote zaidi ya chuki na visasi kwa mtumishi wa Mungu kama Gwajima.Hiyo intelejensia ingemsaidia kuwakamata Ready handed watuhumiwa wa madawa kama Gwajima, Riz na Mbowe,siyo msokoto wa Bangi wa Wema. hii ni Imagination theory za kwako. aliyemwandikia barua ya kwenda chuo yupo, aliyempa cheti yupo.
 
Watu wenye akili tunaelewa. Hata Nape naona ameanza kuelewa somo.
 
 
umeanza vizuri, ulivyokuwa unaendelea ukaanza kuingia mwabepande, mwishoni ukatokomea kusikojulikana kabisa
 
Aisee wewe labda elimu yako ni kama ya bashite. Huyo jamaa kaongea ujinga mtupu, kaongea vitu vya kufikirika visivyo na uhalisia. Zero iliyopatikana 2000 iwe ya kutengenezwa ?
 
Swala ni Fikyeti tuu hayo ya kusema huyu ana vyeti mbona akili zake ndogo kuliko huyu hana vyeti mngetumia hii njia kwenye kuhakiki vyeti pia sio kwa huyo pekee..
.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…