picha mkuu!wakuu huu utafiti ni confirmed
Hapo kwenye red, unajua maana ya utafiti? Weka hiyo report ya utafiti hapa kabla sijachangia.wakuu utafiti unathibitisha kuwa watangazaji wengi wa television hapa bongo wanavaa ndivyo sivyo kisa tu katika tv uonekana kuanzia kichwani mpaka kiunoni, wanachofanya sasa wanahakikisha wanaulambia sehemu ya juu inayoonekana luningani yaani anapiga tai kali,shati kali na bonge la koti, ila sasa kwa chini anavaa anavyojua yeye yaani wanapiga jeans au kaptula na raba si hawaonekani kwa chini mazee. ushauri wa bure jamani watangazaji wetu achezi hizo bana
Aliona kwenye katuni za chakubanga.Mkuu umewahi waona au umejenga taswira mfananisho kichwani?
Weka picha.wakuu huu utafiti ni confirmed
K 4 LIFE HAWA WACHANGIAJI HAWAKUFAHAMU VIZURI, VIPI MIKUMI HUJAPITA TENA?